Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wachambuz nguli duniani tunaamini jumapili Chelsea hatoboi,japo atacheza mpira mkubwa
IMG-20190816-WA0042.jpeg
 
MOU adai ni timu nne tu zina uwezo wa kugombania ubingwa wa EPL mwaka huu
Timu hizo ni
  1. Man City,
  2. Liverpool,
  3. Tottenham,
  4. Man City B.
Huku PEP akidai bado kuna timu zinauwezo wa kugombea ubingwa
Aliielezea kipekee Chelsea kuwa pamoja na kupoteza michezo miwili lakini anavutiwa sana na wanavyocheza

"I'm really impressed with how Chelsea played in the games with tough teams in United and Liverpool," he said.

"They didn’t win but I was really surprised with how good Frank Lampard's team played.
 
Tar 23 Oct 2016 - Che vs Man U 4-0
Mwaka wake wa kwanza Chelsea Kante alicheza vizuri sana na kuiwezesha Chelsea kuchukua ubingwa
  1. Pedro dk ya 1
  2. Gary Carhill dk ya 21
  3. Eden Hazard dk ya 62
  4. Ngolo Kante dk ya 70
 
Binadamu kusema ukweli ni ngumu sana
David Luiz kadai eti kaikacha Chelsea kwenda Arsenal kwa sababu anataka kuwin trophies - Huu ni ukichaa
Wakati Lampard alimueleza kuwa hana mpango nae katika mazungumzo ya wao wawili na ndipo wakakubaliana na management ikamkubalia Luiz kuondoka kwa mil 8. Aondoke kwa sababu Lampard alishapanga Starting XI ambayo Luiz hakuwepo. Chelsea ingekuwa na business na Luiz isingemtoa kwa mil 8!!

"All my life, I've always started the season with the goal to win things," he told Arsenal's website.
"It's not going to be different here -- I'm going to come with this mentality because this is what made me move here."

luiz960.jpg

Anatoka kwenye timu yenye kushinda makombe halafu anakwenda kuota ndoto huko
Ktk miaka 10 iliyopita ambayo Luiz amekuwa akiichezea Chelsea

Arsenal wameshinda makombe matatu tu tena ya FA
Chelsea wameshinda makombe sio chini ya 10
  1. UCL = 1
  2. Europa = 2
  3. EPL = 3
  4. FA Cup = 3
  5. League cup =1
 
View attachment 1183355

haahaa lazima aseme hivyo mkuu, asingeweza kudeclare kuwa Lampard alimwambia hana nafasi kwenye kikosi chake
 
Tar 23 Oct 2016 - Che vs Man U 4-0
Mwaka wake wa kwanza Chelsea Kante alicheza vizuri sana na kuiwezesha Chelsea kuchukua ubingwa
  1. Pedro dk ya 1
  2. Gary Carhill dk ya 21
  3. Eden Hazard dk ya 62
  4. Ngolo Kante dk ya 70
Kwa hiyo baada ya kupigwa nne umeamua kujifariji kwa kujikumbusha vilivyopita[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Arsenal na Man U hizi predictions hawazipendi kabisam, mimi nina uhakika kwenye top 6 yakibalidilika ni Che kwenda 3 na Man U kwenda 6 basi
690.jpg
 
Mwenye timu asipokuwepo timu inafungwa tu hata na Kagera FC
Ath. Bilbao vs Barcelona 1-0
 
Ndiyo msemavyo kila msimu. Hamtusumbui. Tukiwa na Giroud na Higuan na Morata tumemaliza mbele ya Tottenham EPL.
Chelsea hii ya Abraham ikamate nafasi ya 3?

Narudia maneno yangu "Ukimaliza Ligi juu ya Manure Naomba Mods Wanipige Ban ya Maisha".
 
Weka head to head arsenal vs Chelsea hapa

Weka All trophies ,Arsenals vs Chelsea/totenham
Kabla sijakujibu hilo. Naomba na wewe nijibu hili swali.

UEFA mmeshiriki mara ngapi wewe na Tottenham kwa ujumla wenu na mpaka sasa mmechukua makombe mangapi kwa ujumla wenu. Then leta tulinganishe na baba ako wa London.
 
Mabingwa wa kujifariji endeleeni kujifariji na kocha wenu wa mazoezi.

Ila tu mjiandae kushika umwisho hapo kesho.
 
Kabla sijakujibu hilo. Naomba na wewe nijibu hili swali.

UEFA mmeshiriki mara ngapi wewe na Tottenham kwa ujumla wenu na mpaka sasa mmechukua makombe mangapi kwa ujumla wenu. Then leta tulinganishe na baba ako wa London.
Umeshindwa kujibu swali, bas

Tunuombee ushind mnono kesho Leicester
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom