Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Leicester najua hamtaniangusha

Ayoze Perez

Tielsman

Vardy

Madsson

Praet

Chelsea mnatokaje hapa kwa mfano ....njooni mniambie mnachomokaje ikiwa kipa kepa
Ukitaja makipa wanne bora EPL no De Gea, Allison, Ederson na Kepa. Akina Pickford na Schemichael wanafuata. Huyo Leno hata top 6 hayupo
 
Sisi washabiki wa leicester city tushajiandaa kuchukua 3 points on sunday.

My prediction: Chelsea 1-2 leicester city.

foxes never quit,always the same.
 
Ngolo Kante adai anafurahia nafasi ya sasa ya kushambulia kama Lampard akiendelea kumpa majukumu hayo. Aliyasema hayo baada ya mechi ya Chelsea na Liverpool jtano usiku

"The coach asked me to play in this position, I like to do it."

"I know what to do with my teammates and we played a good game tonight."
 
Lampard went on to reveal when he thinks Hudson-Odoi will be back in action.

'Probably next month considering the international break maybe falling at a good time for us. It gives us a couple of weeks to really see how he’s getting on with the conditioning training.
 
The boss expects Reece James to be back in two or three weeks having suffered an ankle injury on international duty over the summer.
 
Lampard also gave an update on Rudiger and Willian who are yet to feature this term.

'Rudiger is training. Whether he’s completely match fit is a different thing, for the same reasons as Callum, a bit of conditioning [needed]. Willian is probably closer. They are both in contention for the weekend.'
 
Sababu ya Chelsea kufungwa yafafanuliwa vizuri na wanaojua soka
High pressing basically huwa inatumika kama mbinu ya kujilinda kama ilivyo ktk kupaki mabasi
Kama ilivyo kupaki mabasi ina madhara yake hivyo hivyo kupress sana ina madhara yake
  1. Dhara la kwanza ni wachezaji ni rahisi kuwa off location na kuwapa midfields wa timu pinzani kuanzisha mashambulizi ya kushtukiza pale timu inayopress ikipoteza mpira golini au ktkti ya uwanja
  2. Wacheza wanachoka mapema kwa sababu pressing inatumia nguvu sana ni vigumu mchezaji mmoja mmoja ku-conserve energy
Kwenye mchezo wa Man united pressing ya Chelsea ilikuwa kubwa mno na walikamia sana na ndio maana kulikuwa na kosa kosa nyingi langoni mwa Man U. Kila Chelsea walipopoteza mpira mchezaji kama Pogba na uzoefu wake wote alipata nafasi na uhuru wa kumtafuta Rashford na kutengeneza counter attack
Kwenye mchezo la Liverpool, manager alipunguza Pressing ikasaidia vitu viwili
  1. Wachezaji kuwa kwenye position kila wakati na kutoacha nafasi kubwa na uhuru kwa viungo wa Liverpool
  2. Wachezaji walipata muda wa kuhifadhi nguvu -conserve energy
Hitimisho
High pressing ni nzuri kama precision ya wachezaji kwenye pasi na kufunga magoli iko so optimal lakini kinyume chake ni disaster - Yaani balaa kama lile la OT

Timu kama city wanaweza kupress sana kwa sababu wana wachezaji wamaliziaji wazuri kama akina Sterling, Sane, Jesus, Aguero nk
 
Sisi washabiki wa leicester city tushajiandaa kuchukua 3 points on sunday.

My prediction: Chelsea 1-2 leicester city.

foxes never quit,always the same.
Unajidanganya. Na utapotea hapa jukwaani kwa juma zima
 
Penalti ya Tammy Abraham kipa wa Liverpool alivunja sheria mpya ya FIFA na yule refa na VAR yake sijui ilikuwa na kazi gani
View attachment 1182521
The UEFA clarification of the rules is certainly not clear and will do little to ease the pain of Chelsea fans recovering from a cruel Super Cup defeat to Liverpool.

Sheria mpya ya FIFA ambayo ilianza kutumiak tarehe 1 June 2019 inamtaka Goal keeper kuacha sehemu ya mguu wake mmoja kwenye white line ya goli wakati mpigaji anapiga mpira
Yule refa alibet Liver ishinde
Kweli alibet ndo mana akawapa penalty in extra time.
 
Mkuu wale wamama toka mechi inaanza mpaka inaisha walikua hawaishi kuonyesha mahaba yao na Liverfools. Yote kwa yote madogo walipambana masaa mawili.
Ebu kubali kwamba mlishindwa na si kutanga kutafuta excuses. Mlivyofika golini mlifunga ngapi zikakataliwa?
 
Basi useme kama siyo Refer kutoona kwamba Adrian alikuwa mbele ya msitari mngechukua super cup?

At first place Adrian asingelifika mpaka Kukaa nje ya Msatari iwapo Referee angelienda kureview kwenye VAR akaona ni jinsigani Abraham alivyodive.
Mpira ungeliisha kwenye dakika 120 kwa Liverpool kubeba Kombe.
 
Ukitaja makipa wanne bora EPL no De Gea, Allison, Ederson na Kepa. Akina Pickford na Schemichael wanafuata. Huyo Leno hata top 6 hayupo
Hapo umepatia wala hakuna anayebisha, wachambuzi wengi waliorank waliweka hivyo ila wachache walimuondoa Degea mwaka jana 2018/19 kutoka nafasi ya kwanza kwenda ya tano kwa sababu ya blunders nyingi alizofanya mwaka jana
Ila pia naona kwa maoni yangu binafsi Ederson amekuwa bora kwa sababu ya ubora wa Man city, akiwa kwenye timu zenye defense mbovu kama Chelsea ya mwaka jana ange-flop tu
 
Mimi kama shabiki wa Chelsea nimeridhika na kiwango cha timu yetu, hata tukishika nafasi ya 10 Sawa, lampard ni kocha.

Vijana wanaupiga mwingi Sana PNC 1
Hata mimi mkuu...

Nikiingalia Chelsea ni sawa na kumwangalia Beyonce akioga,ni burudani sana
 
Kwa msimu jana Degea hayumo lakini kwa kuwa amekuwa consistent over time. Huwezi kumuacha
Hapo umepatia wala hakuna anayebisha, wachambuzi wengi waliorank waliweka hivyo ila wachache walimuondoa Degea mwaka jana 2018/19 kutoka nafasi ya kwanza kwenda ya tano kwa sababu ya blunders nyingi alizofanya mwaka jana
Ila pia naona kwa maoni yangu binafsi Ederson amekuwa bora kwa sababu ya ubora wa Man city, akiwa kwenye timu zenye defense mbovu kama Chelsea ya mwaka jana ange-flop tu
 
Natamani FA mechi zilizobakia watupe tucheze na cheltako mechi zote [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]#GGMU
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom