Kyatile
JF-Expert Member
- Feb 5, 2017
- 1,741
- 1,587
Mpira hua unangaliaje?
Joginho angekuwa anapiga zile penetration pass kama fabrigas ingependeza sana. Kwa pass za kulia, kushoto, nyuma yuko vizuri sana.