Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Aaaaaah unialike wapi wakati wewe huna hata box hapo emirates...............sawa bwana ila mimi theater of dreams inanisuuza moyo karibu.

Kumwalika mtu sio lazima uwe na box khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.
 
Come on you Blues, bury hose cghances before it's too late!!!!

O O O!!! U r Ok bro???? Am sure u cant make such typing errors!!!! Breath!!! U will get out of this game safe n happy!!!! Hahahahahaaaaaaa......... U were a keyboard master during arsenal game.....hahahahahahaaaaa
 
Naona chacha umefufuka khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee, vipi Tor The Res amefunga?

Niko muda wote tangu mpira haujaanza. What do you meab by "umefufuka"? Mimi sio mzee wa kusepa kama wewe!....khe khe kheeeeeeeee!!!!
 
Anachohitaji ni kupata wachezaji wa kumchezesha Torres. Playmaker na wingers will do us a good business.
Chelsea wameshindwa kumsajili playmaker wa kumchezesha Torres hadi nimemuona Torres last week ame-adapt system ya Chelsea ameamua ku-fight mwenyewe baada ya kuona hapewi pasi, muda wa usajili bado upo
 
Tusubiri tuone kama Mata na Modric watatia team.
 
O O O!!! U r Ok bro???? Am sure u cant make such typing errors!!!! Breath!!! U will get out of this game safe n happy!!!! Hahahahahaaaaaaa......... U were a keyboard master during arsenal game.....hahahahahahaaaaa

hahahahahaah!!!!!!!!!! i was so excited!!!! nimeandika kilugha gani sijui...!!!!!!! nilitaka kusema "those chances"
 
Niko muda wote tangu mpira haujaanza. What do you meab by "umefufuka"? Mimi sio mzee wa kusepa kama wewe!....khe khe kheeeeeeeee!!!!

Nilikuuliza matokeo ulikuwa unagwaya maana nilikwambia chichi hakuna umeme umekuja toa matokeo later wakati tunamtafuta Mungiki Brother na Invisible waku-check kama upo ok. khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee wacha ngebe kaka haya twambie mambo yakoje chacha? wacha uongo chacha khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee
 
Duuh! Hawa jamaa wanashika na kupiga kiatu ndani ya box lakini refqa hatoi pen!
 
Mtabebwa tu usijali khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
hahahahahaah!!!!!!!!!! i was so excited!!!! nimeandika kilugha gani sijui...!!!!!!! nilitaka kusema "those chances"

Nilikuelewa Kaka.....Ambacho sikuelewa ni "WHY" ila ushanijibu kuwa u were excited.... Remember unacheza na WBA.....Bado kuna ARSENAL, Both MAN'Z.......T'ham etc...... May be GAme OVER...... 2-1.... Shud I Congratulate u?????????
 
Cheers mate! I just don't understand why should we labour to win this type of match! Anyway, this why EPL is very exciting!
 
We wacha1 uko Alaska kuna emirates stadium au home games gani hizo unazozungumzia?
 
Nipo Alaska vipi hupendi? Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee natembea kwa ungo au hujui?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom