Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Aaaah ndo ligi imeanza hiyo pole sana kwa yaliyokukuta leo..................ngoja tuone utawala mpya

Wacha kujikomba komba bana khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee jukwaa la mafioso hili.
 
Lete news za mpira bana chichi kwetu hakuna umeme. Umetualika then uko kimya.

naona jamaa wamebahatisha bao moja! lakini uwezekano wa kurudi upo

Ni macho yangu au naota????? Koz naona scoreboard inaonyesha 1-0..... Anyway Mpira dakika 90........na hapa ndo kwanza nimekuta game ni dk ya 30.... So watarudisha tu... Au vp Piss- ant.......

Mmemwona Gervinho ndani ya Bridge aki-enjoy footy?! Kaona Emirates uzushi bora atie timu darajani....there's only one team to watch in London, it plays in Blue!
 
Wacha haya maloloso mengine lete habari za soka bana mmefunga magoli mangapi? khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Mpaka hii ligi inaisha kichwa cha bwana mdogo Andre Villa Boas kitakuwa kimejaa mvi
 
Anachohitaji ni kupata wachezaji wa kumchezesha Torres. Playmaker na wingers will do us a good business.
 
Sasa umejua kwanini? I'll bet my last breath siku huyo jamaa akiwa jukwaani kwake live!

Kuna mechi kubwa kama Barcelona na Arsenal last season rudi nyuma kaangalie kama nilikuwa jukwaani au la? Wacha umbeya, mkubwa wewe sasa ..... ...... ...... .... kama nipo jukwaani nipo kama sipo sipo whats the big deal?

Kumbe ndo maana huwa unakimbia jukwaa lako .............

Mkuu mimi sio shabiki kama wewe, ni member wa Arsenal football club na mechi zote za nyumbani nipo Emirates kuangalia vijana kama ada. Chacha wewe ulitegemea niwe hapa nakenua na wewe kwa mtaji gani? Mtapata tabu sana kwa sababu Arsenal tupo kwenye program ya hali ya juu kuiweka timu pale inapotakiwa.

Usione media yote ya UK inagwaya kuandika kila siku habari za big team hujiulizi? Kama unaweza tuma maombi ili nikufikirie kukualika Emirates au unasemaje.
Peas of ant alikataa kwa sababu ya aibu ya cowshed yao. khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Daah kweli ni Balaa, Mbona Chelsea tunacheza mchezo mbovu kabisa, yaani timu haina dalili zozote za ushindi,
duuuh nadhani huyu kocha ana mapepe sana, mimi sijaona sababu ya kumtoa Kalou Mwanzo kabisa bila kuwa na sababu za msingi

kazi hipo mwaka huu, nadhani kwenye dirisha dogo la mwakani (January) tutasajili kocha mwingine
 
Hatujafunga, WBA wanaongoza 1-0!

Nashukuru maana umeme umekatika huku madongo kwinama khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee si unajua tena saa za Alaska karibu lunch time chacha.
 
Anachohitaji ni kupata wachezaji wa kumchezesha Torres. Playmaker na wingers will do us a good business.

Hamna Wingers and a playmaker???? Really????? Is this reason has anything to do with the results so far?????? Dont worry PISS-ANT.... U said earlier that lets wt n c how how good u gona play 29t......oooooooooooohhh.........Drogba will do S'thing may be..........
 
Msimu huu kuna makubwa na madogo....m napita tu. ntapiga vzur umbea mechi ikiisha.
 
Hamna Wingers and a playmaker???? Really????? Is this reason has anything to do with the results so far?????? Dont worry PISS-ANT.... U said earlier that lets wt n c how how good u gona play 29t......oooooooooooohhh.........Drogba will do S'thing may be..........

To be honest Chelsea hatuna quality wingers kama ilivyokuwa kipindi cha Robben na Duff....playmaker.?! Lampard sio playmaker, ni mzuri kumaliza kuliko kutengeneza.
 
Naona chacha umefufuka khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee, vipi Tor The Res amefunga?
 
Kuna mechi kubwa kama Barcelona na Arsenal last season rudi nyuma kaangalie kama nilikuwa jukwaani au la? Wacha umbeya, mkubwa wewe sasa ..... ...... ...... .... kama nipo jukwaani nipo kama sipo sipo whats the big deal?

Mkuu mimi sio shabiki kama wewe, ni member wa Arsenal football club na mechi zote za nyumbani nipo Emirates kuangalia vijana kama ada. Chacha wewe ulitegemea niwe hapa nakenua na wewe kwa mtaji gani? Mtapata tabu sana kwa sababu Arsenal tupo kwenye program ya hali ya juu kuiweka timu pale inapotakiwa.

Usione media yote ya UK inagwaya kuandika kila siku habari za big team hujiulizi? Kama unaweza tuma maombi ili nikufikirie kukualika Emirates au unasemaje.
Peas of ant alikataa kwa sababu ya aibu ya cowshed yao. khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Aaaaaah unialike wapi wakati wewe huna hata box hapo emirates...............sawa bwana ila mimi theater of dreams inanisuuza moyo karibu.
 
Come on you Blues, bury those chances before it's too late!!!!
 
Dont write them off........ they are also comin to u....... Aren't they???????
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom