Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Subiri uone wanaume wanapiga mpira hapa, sio vile vijukuu vyako kule Emirates.
On serious note, mwambieni Nutty anunue kabla hamjaadhirika mjini.

EPL best of 38 matches chijui unaongea nini? Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
what the ****n is Alex doing?! He plays like Arsenal defender!!!!!!
 
what the ****n is Alex doing?! He plays like Arsenal defender!!!!!!

Vipi mkuu mbona matusi tena kulikoni maana umeme umekatika kwetu namna gani? khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Vipi mkuu mbona matusi tena kulikoni maana umeme umekatika kwetu namna gani? khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Alex tumemweka sokoni kama mnamtaka leteni ngawila, kama mnaweza kushindana na Juventus! He's better than all Arsenal defenders put together.
 
Alex tumweka sokoni kama mnamtaka leteni ngawila, kama mnaweza kushindana na Juventus! He's better than all Arsenal defenders put together.

Mbona hueleweki khe khe kheeeeeeeeeeeeeeee jamani tafuteni Mungiki Brother au Invisible huenda tukampoteza peas of ant amepata kigugumizi. Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Jamani kumetokea nini tena hakuna umeme kwetu khe khe khe khe khe
peas of ant hataki kusema lolote ..... ...... ..... au mzee wa meerkat kafanya vitu vyake?
 
Unaongea nini?!
 
Mkuu peasant mbona jukwaa kimya halafu upo mwenyewe tu ................
 
Alex tumemweka sokoni kama mnamtaka leteni ngawila, kama mnaweza kushindana na Juventus! He's better than all Arsenal defenders put together.

Vipi hueleweki unahitaji kumwazima T5? khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee JF chacha imedoda hakuna news kutoka kwenye cowshed! Phew ...... ... . .
 
naona jamaa wamebahatisha bao moja! lakini uwezekano wa kurudi upo
 
Kwa nini huyo bwana mdogo Vila Boas anamweka benchi David Luiz? Kweli ukocha kazi ngumu
 
Ni macho yangu au naota????? Koz naona scoreboard inaonyesha 1-0..... Anyway Mpira dakika 90........na hapa ndo kwanza nimekuta game ni dk ya 30.... So watarudisha tu... Au vp Piss- ant.......
 
Ni macho yangu au naota????? Koz naona scoreboard inaonyesha 1-0..... Anyway Mpira dakika 90........na hapa ndo kwanza nimekuta game ni dk ya 30.... So watarudisha tu... Au vp Piss- ant.......

Mambo yatakuwa poa, inshallah!
 
Wacha udaku na wewe kwani chelsick wamesahau kutoa ngawira? khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeee
Aaaah ndo ligi imeanza hiyo pole sana kwa yaliyokukuta leo..................ngoja tuone utawala mpya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom