Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

hahaha! hiyo sio pen kweli?

Tor The res maskini kanyimwa penalty hata Lamps wanamnyima penalty khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee wachezaji wa Chelsick sasa wanamzunguka refa khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee lakini replay zote zinaonyesha refa yuko right. Msijali endeleeni kumtisha refa kama kawaida yenu. Ma-diver wapo wengi leo Chelsick .... .... ..
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
hawa jamaa wanapiga kiatu si mchezo! na refa anapeta tu penalty laims za chelsea! mbona hizo hamsemi wapinzani? au mko biased?
 
hawa jamaa wanapiga kiatu si mchezo! na refa anapeta tu penalty laims za chelsea! mbona hizo hamsemi wapinzani? au mko biased?

Wacha kulialia chezeni mpira khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee nyie sio mmempa ngawira refa? Atawapa goli extra time khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
OOOOOOOOOhhhhhhhh!!!! It doeznt luk gud 4 RD........ Nani atakua anarusha mipira hapa?????????? Naona kdg mmepumua kutoka kwa Mshikaji....
 
Wacha kulialia chezeni mpira khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee nyie sio mmempa ngawira refa? Atawapa goli extra time khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Hawa mkikutana nao na ile beki yenu ulojo mtakoma. The whole fvkin team is 6+ft except Pennant.
 
Unaona???? Ushahamia huku tena mazee???? hahahahahaaaa.... Stoke wanakimbiza mbaya.....

Nilikuwa najaribu kukuonyesha tu kwamba kila timu inapata good calls na bad calls....na wewe sijakusikia ukisema chochote kuhusu kubebwa huko kwa Arsenal....au nyie mkibebwa ni haki yenu?!
 
Unafahamu huyu Jermaine Pennant muhuni sana, aliposhikwa na drink driving alidanganya jina na kujiita Cash Cole chacha unaweza elewa kwa nini wakikutana hapatoshi ... .... ... khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Aisee I don't like this one bit (kutoa toa draw) nishaanza kuhisi team yangu itaaibishwa leo.

Hawa stoke ukiwachekea wanakufunga hivi hivi...
 
Nilikuwa najaribu kukuonyesha tu kwamba kila timu inapata good calls na bad calls....na wewe sijakusikia ukisema chochote kuhusu kubebwa huko kwa Arsenal....au nyie mkibebwa ni haki yenu?!

Hakuna mwenye haki ya kubebwa.... Ila nyie mmezidi.....!!!!
 
Hakuna mwenye haki ya kubebwa.... Ila nyie mmezidi.....!!!!

Hapo ndio tatizo linapoanzia, mnapoplay victim card kila wakati, hata pale mnapobebwa bado mnasema mmeonewa! OK, endeleeni kulialia sisi twawacheka tu.
 
62aa9277145989bc4c960c0acb0baa4f.jpg

Tor the Res ... .... .... .... ...

Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Peas of ant and company walichonga sana jana leo je .... .... .... ... silence khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Bora mechi imeisha bila majeruhi maana shughuli ilikuwa nzito!
 
Welcome to EPL ANDRE VILLAS-BOAS.... I dont think he knew about STOKE CITY back in Portugal...........Another DRAW.....Hongereni kwa kuambulia point......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom