hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,423
- 26,976
Ukisajiri vizuri unatamani ligi ianze haraka lakini ukiokota okota au usiposajiri vizuri halafu umeuza watu wa maana aisee unatamani yatokee machafuko mwaka huo ligi isichezwe.
Chelsea ndiyo timu inayotamani ligi isianze kabisaa maana wana hali mbaya kweli kweli wale wachezaji waliokuwa wana wadharau msimu huu ndiyo wanaotakiwa kuwasifia.
Unaambiwa bakayoko, giroud, batshuayi, Abdurahaman kinana eti ndio namba 9 na ndiyo mihimili yao kwenye msimu huu na wana uhakika wa kucheza muda wote.
hawa wanzetu watateseka sana aisee tuache utani kuna timu msimu huu zitalia na kusaga meno maana zitawafanya mashabiki wake wapate tabu.
Vipigo havitakauka humu