Aisee bora arudi tu mana huyu ni mchezaji mhimu awapo uwanjaniKante arudi mazoezini by 27 July 2019
![]()
tkwa hiyo dis kuwa na uefa s mfanikio kumbe najichosha na mtu asie na elimu
Kwani uyo Arsenal kipindi cha ivi karibuni ameweka historia gani ya maana??Liverpool na Arsenal ni H
Liverpool na Arsenal ni histopria tu imebaki hapo hakuna kitu mbele ya Chelsea
Soma kwa makini ranking list ya Forb es ya 2019 ya timu kubwa duniani. Mnaleta ukichaa hapa mnadhani wote ni vichaa kama ninyi, hapa mnafikiri mimi huwa naropoka tu!
Fuiata na hii link
https://www.forbes.com/soccer-valuations/list/#tab😱verall
View attachment 1164936
Wewe Ngwaba ungeitetea Liverpool tungekuelewa, lakini unaitetea Arsenal wakati wenye timu wamekaa kimya utaonekana labda hauko vizuriFinally you've ended up kwenye Personal attack
Apo kati sijui patakuwaje, Kante Kovavic, Jogihno dah itakuwa ni balaa..Kante arudi mazoezini by 27 July 2019
![]()
Dah Drinkwater mpira wake unaenda kufa kifo cha mende, sikuona sababu ya kumsajili wakati hatukuwa na future naye, mbaya zaid hauna clan iliyo tayari kumchukua ..sasa sijui itakuwaje ..mchiz atakuwa na stress sana!!Rasmi
Lampard hatawahitaji Bakayoko na Drinkwater kwenye kikosi, hivyo watauzwa au kutolewa mkopo tena
Evarton wana nia ya kumchukua Bakayoko baada ya kushindwa kumchukua Zouma
Mafanikio yapi? kushindwa kubeba hichi kikombe cha kuku Emirates cup?Kwanza fikieni Mafanikio ya Arsenal ili muwe wakubwa ndani ya London ndiyo muanze kujadili nini maana ya Ukubwa.
Arsenal ana mafanikio gani ya kutufanya sisi tumuwazie yeye? Unaharisha mkuu.Kwanza fikieni Mafanikio ya Arsenal ili muwe wakubwa ndani ya London ndiyo muanze kujadili nini maana ya Ukubwa.
Apo kati sijui patakuwaje, Kante Kovavic, Jogihno dah itakuwa ni balaa..
Mason mount ni mzuri ila atapata shida kuwa na namba mbele ya Loftus Cheek na Barkley. Pia Pulisic atapaswa kucheza namba kumi ili Willian na Odoi wabaki kuwa wingers. Japo nahisi mfumo wa 4 2 3 1 utatumika sanjari na 4 4 2 au 4 1 3 2 ili kuacommodate namba kubwa ya quality midfielders tulionao.The world should watch closely Mason Mount. He is another big thing coming.
Save this comment please. 20 goals per season am predicting.

. Jorginho akikata umeme Kante anan'goa nguzo. Halafu Kova anafukia visiki yan kufuta ushahidi kama umeme ulikuwepo maeneo hayo.Siyo wakati wote Willian na Odoi watalazimika kuanza. Puli anaweza pewa shavu la kushoto then Odoi akapewa shavu la kulia. Hapo lazima kutakua na ku switch position kati yao, then kina Willian na Pedro wanaweza kuanza baadhi ya game au wakawa wanatokea benchi.Mason mount ni mzuri ila atapata shida kuwa na namba mbele ya Loftus Cheek na Barkley. Pia Pulisic atapaswa kucheza namba kumi ili Willian na Odoi wabaki kuwa wingers. Japo nahisi mfumo wa 4 2 3 1 utatumika sanjari na 4 4 2 au 4 1 3 2 ili kuacommodate namba kubwa ya quality midfielders tulionao.
Nachojua Willian atakuwa regular starterSiyo wakati wote Willian na Odoi watalazimika kuanza. Puli anaweza pewa shavu la kushoto then Odoi akapewa shavu la kulia. Hapo lazima kutakua na ku switch position kati yao, then kina Willian na Pedro wanaweza kuanza baadhi ya game au wakawa wanatokea benchi.