Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Before today Mimi nilishawahi kutukana popote ndani ya Hii Forum?

Sasa ujue kama Mimi sipendi matusi kumtukana yeyote, na wala sipendi kuwa insulted kwa mtu yeyote, Bali huyo Fanboys mwenzako ndiye asiyejuwa ustaarabu wa watu wengine.

Kwavile aliyeanza ujinga ni Mshabiki mwenzako wa Chelsea ndiyo umemnyamazia Kimya sio? Ukaona Matusi yapo kwa Mtu wa pili aliyejibu ujinga wa Mshabiki mwenzako?

Watu waliokuwa Biased kama wewe ni Hatari kwa Dunia yoyote ile.
Ngwaba nimezungumza na wote wawili na hata wale wenye tabia kama hiyo, Sorry kwa kuumizwa ila bado ungeweza kujibu mapigo kistaarabu zaidi

Kumbuka usemi huu wa wahenga wa kizungu
"Don't argue with the fool, people might not notice the deference"
"Usibishane na mpumbavu, watu hawataweza kutofautisha"
 
Hicho Cheti Cha Ujinga aliyenipa ni Mamayako baada ya Kutumia ijinga wangu Nikamgonga.

Kuwa na Heshima na Watu wewe Mimi Sijawahi Kumvumjia Mtu heshima humu mitandaoni.

Huwa tunaleteana tu challenge za Kimitandao lakini sio Kuvunjiana heshima.

Hebu acha kunizoea Mimi nabishana na wengi humu kimasihara lakini sio kuitana majina mabaya na kudharauliana.

Hebu kuwa na adabu Bwanamdogo.
Lengo kuu la ushabiki ni kutengeneza marafiki na sio maadui, sasa kwa matusi haya kweli tunaongeza marafiki au maadui?
 
Mimi ningekuwaga admin, watukanaji wote ningewapiga ban ya two windows hata bila ya kuwapa notice
 
What Lampard will be looking to fix in the final preparations before United game..

- Defending from set pieces
- Emerson or Alonso. Who starts?
- Who gets dropped for Kante? Kovacic or Jorginho?
- The striker situation, who starts?
- Mount or Barkley?

#CFC
Watashindana, tunahitaji sub ambao wana quality sawa na starting XI
 
Timu zingine ukiondoa Man city na Liverpool ziko sokoni zinaumiza vichwa nani auzwe, nani atolewe mkopo na nani anunuliwe kuziba viraka
Sisi Chelsea kocha anaumiza kichwa ni nani aanze na nani awe sub kwenye pool ya wachezaji wa ndani hata bila kwenda sokoni. Hii ndio sifa ya timu kubwa, taifa kubwa
We unaweza waza mchezaji mzuri kama Fikayo anatolewa mkopo kwa sababu hana nafasi, au Bakayoko aliyeng'ara kule Milana lakini huku Chelsea ni makapi!
 
Mimi nimeanza kuamini kwamba hata mastrikers wazuri tunao, wanachohitaji ni kupewa huduma tu na wingers, midfields na hata mabeki style ya Luiz
 


Everton wameshaona uchochoro wa kuingia top 6 msimamo wa ligi ni spot ya Chelsea hahahhaha

Dah

Mkipata nafasi ya EUropa msimu ujao mtakuwa mmetisha sana

Moise Kean, Sigurdson, Richarlison na Bernad watafanya mkashindwa kupata position ya kuwapeleka Europa hahahahaha

 


Everton wameshaona uchochoro wa kuingia top 6 msimamo wa ligi ni spot ya Chelsea hahahhaha

Dah

Mkipata nafasi ya EUropa msimu ujao mtakuwa mmetisha sana

Moise Kean, Sigurdson, Richarlison na Bernad watafanya mkashindwa kupata position ya kuwapeleka Europa hahahahaha

We kiazi unashabikia timu gani?
 
Wengi wanaichukia Chelsea kwa sababu imetoka kwenye timu ndogo na ndani ya miaka 15 ikazipindua wale waliokuwa wakijiita timu kubwa kwa sababu ya yale makombe ya mababu zao
Walisema ni nguvu za soda watagonga mwamba tu lakini Chelsea iliendelea kusonga mbele na makombe liwe EPL, FA, UCL mickey mouse cup yote sisi tunazoa na hatujivungi kama wale wengine wa mtaa wa jirani.
Alikuja Sarri na ubovu wake wa kuwa mfahidhina wa formation tukachukua Europa na nafasi ya tatu kwenye ligi hao wal;itabiriwa mema na manabii wa uongo wakaishia Europa
Unakumbuak mwaka jana walisema kwa ujasiri kuwa namba 6 inatuhusu, tukawaprove wrong under the worst manager
Chelsea bana hata wakinipa hiyo timu na umbumbumbu wangu wa kufundisha football lakini nitatwaa tu kikombe klwa sababu ndio utamaduni wa darajani bana
Hao tumewazoea hawatupi tabu yeyote, huu msimu tuta prove wengi wrong.
 


Everton wameshaona uchochoro wa kuingia top 6 msimamo wa ligi ni spot ya Chelsea hahahhaha

Dah

Mkipata nafasi ya EUropa msimu ujao mtakuwa mmetisha sana

Moise Kean, Sigurdson, Richarlison na Bernad watafanya mkashindwa kupata position ya kuwapeleka Europa hahahahaha

Wakati Chelsea tunatafuta nafasi ya EL unashindwa kuwaza wewe utakua unapambana usitoke nje ya top ten. Huyo Everton unayemtaja sijui atakutana na Chelsea pekee msimu mzima?

Usijitoe kwenye equation its doesn't concern you. Bro we the same
 
Wakati Chelsea tunatafuta nafasi ya EL unashindwa kuwaza wewe utakua unapambana usitoke nje ya top ten. Huyo Everton unayemtaja sijui atakutana na Chelsea pekee msimu mzima?

Usijitoe kwenye equation its doesn't concern you. Bro we the same
Halafu akumbuke kuwa Everton kwa sababu ya bajeti wao wanavizia makapi halafu watatukutaje jamani, ushabiki mwingine unatakiwa uishie chumbani
 
Haka Kajititimu kadogo kalichoanzishwa 2004 kanajiona katimu kakubwa eti ! 😀😀
Lakini Katimu kadogo kanako wanyima usingizi!,kwanza uliwai wapi kusikia kuwa mtoto akizaliwa atabaki vilevile bila kukua,kwataarifa yenu Epl Kuna watoto wawili ambao ni Chelseafc na Man City kwasasa wamekuwa watu wazima nawamekua na nguvu kubwa kuzidi kaka zao waliotangulia kuzaliwa,kakazao wameishiwa hoja wamebaki na majungu plus historia kuwa eti enzi zao nawao walikuwa wababe,sawa hatukatai lakini enzi zenu zilishapita wapisheni vijana wawanyoshe.
 
Davide Zappacosta is open to leaving Chelsea and moving back to Serie A.
Reece James will be the alternative right back
 
Haka Kajititimu kadogo kalichoanzishwa 2004 kanajiona katimu kakubwa eti ! 😀😀
Mtoto mdogo wa miaka 14 anayepata mahitaji yake yote kama chakula bora, mavazi mazuri, malazi mazuri, usafiri bora, tiba nzuri na za kuaminika, elimu bora, na malezi bora, anaishi kwa amani na furaha kuliko mtu mzima maskini, asiye na uhakika wa milo miwili, mwenye elimu duni, ambaye hana hata uwezo wa kujilipia nauli
 
Jamaa karuhusu 7, sasa mashabiki wa Madrid wamemgeukia Kylor Navas kama golie no 1
ee94r4zn4tc31.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom