BARDIZBAH
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 5,937
- 11,778
Akil zao haziwez kuwa sawa maana wanajua anguko litakalowatokea msimu huu wa 2019/2020 litakuwa la kihistoriaHivi mashabiki wa chelsea hamjui mpira au ni makusudi mnawahesabia loftus cheek na hudson odoi kwenye first eleven wakati wana majeruhi ya mda mrefu odoi
Miezi 6 loftus cheek miezi 9 mpaka warudi uwanjani lampard ashafukuzwa