ryana fan
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 2,632
- 3,063
Chelsea mwaka huu kila mtu atajipigia tuuu...hta waliopanda daraja msimu huu... Hamna wachezaji wala kocha pale......subirini mtaniambia....!!!tena lampard anafukuzwa kabla ya mwezi desemba mi nawaambia
Aisee umeanza kuangalia mpira lini. Huyu huyu lamps ndiyo alimfunga Man u kwake Akiwa na Derby yake msimu uliyopita. Ni swala la Muda tu