Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,930
- 27,184
Captain America. CP
Zappa asiondoke bado ana potential kubwa tu, kuna FA, Carabao, baadhi ya gemu za ligi anaeza cheza.Davide Zappacosta is open to leaving Chelsea and moving back to Serie A.
Reece James will be the alternative right back
Msaliti laana bado inamlamba..Jamaa karuhusu 7, sasa mashabiki wa Madrid wamemgeukia Kylor Navas kama golie no 1
![]()
Mimi naona bado Luiz ana uhakika wa namba, kama Rudiger akipona watacheza woteRudiger akirejea luiz benchi
Ok mkuu ngoja msimu uanze utaona mwenyewe, Luiz atakuwa kwenye first eleven kila mechi hao wengine watakua wanabadilishana tu hadi Rudiger atakapoponaZouma hawezi kukaa bench bonge la beki
Azipiculeta- zouma- Rudiger- Emerson
Azipiculeta- zouma- christen - Emerson
Luiz atokee bench
Kipind yupo Anger , alipofika lille Ndoto yake ikabadikika ,NA sasa atakiwasha NDANI ya The GunnersAn old video is doing the rounds of Lille star Nicolas Pepe talking about how much he’d love to seal a transfer to Chelsea.
See below as the Ivory Coast international names the Blues as a club that makes him dream, and naming them as the only club in the Premier League he’d ever want to join.
|| Pépé update || Pépé says he chose Arsenal due to the history of French players at the club as well as Unai Emery who knows him very well...An old video is doing the rounds of Lille star Nicolas Pepe talking about how much he’d love to seal a transfer to Chelsea.
See below as the Ivory Coast international names the Blues as a club that makes him dream, and naming them as the only club in the Premier League he’d ever want to join.
Get Zappacosta out of the club,
loan out Tomori and
tell Luiz if ge doesn't cut out his mistakes im shaving his head in his sleep.
Sahau, kila mmoja ana role yake. Hivi yale magoli mawili Luiz amesababishaje? Au macho yako hayakuona ?Rudiger akirejea luiz benchi
Haaa mbuzi wa kafaraSahau, kila mmoja ana role yake. Hivi yale magoli mawili Luiz amesababishaje? Au macho yako hayakuona ?
Ni sababu ya kuangalia mpira emotionally than from a logical point of view.Haaa mbuzi wa kafara
Kwenye kukaba Zouma yuko agresisve na very sharp tofauti na Luis ila Luiz ni mzuri kwenye kutengeneza chances. Ingekuwa Zouma lile goli la kichwa la Redbull tusingefungwa. Hata Rudiger hawezi mkuta Zouma kwenye agresisvene na wepesi wa kukapaZouma hawezi kukaa bench bonge la beki
Azipiculeta- zouma- Rudiger- Emerson
Azipiculeta- zouma- christen - Emerson
Luiz atokee bench
Luiz akiendeleza hizo blunders za kijingajinga Lampard hatamvumilia, hizi blunders ndizo zilizomlazimisha Conte kumuweka benchi. Akirekebisha hayo matatizo ya kizembe Luiz bado ni beki mzuri kwa sababu ana mentality nzuri na anaipenda Chelsea. Mimi naamini Luiz atajirekebisha na kuwa chaguo la kwanzaOk mkuu ngoja msimu uanze utaona mwenyewe, Luiz atakuwa kwenye first eleven kila mechi hao wengine watakua wanabadilishana tu hadi Rudiger atakapopona
Ndugu ulichokielezea ni jambo moja zote ni uzembe kushindwa kutambua shambulio, hiyo inaitwa man markingKuna magoli yanafungwa kwa uzembe wa mabeki, kuna magoli yanafungwa kwa mabeki kushindwa kutambua au kunusa shambulio la hatari na kufanya marking haraka. Rudiger mwepesi sana kugundua shambulio la hatare.
Luiz faida yake anauwezo wa kuwachezesha viungo, kuanzisha shambulio na ana macho ya pasi ndefu ila kwa ukabaji sio mzuri sana.
Sasa kocha atawapanga kulingana na timu pinzani tutakayocheza nayo. Kama ni timu yenye safu butu ya ushambuliaji luiz aanze lakini kama timu inashambulia kama nyuki wakabaji wepesi waanze
Hapo anasafisha tu kambi ili aweze kukaa na kula vizuri lakini bado ndoto zake ni Chelsea. Subiri ban ifunguliwe kama atabakia Arsenal|| Pépé update || Pépé says he chose Arsenal due to the history of French players at the club as well as Unai Emery who knows him very well...
Nadhani hujaangalia mpiraKila tukifungwa Luiz ndo mwenye shida, hapa ndo huwa sielewi kabisa. Hivi yale magoli mawili mbona yamefungwa baada ya Luiz kuwa subbed? Au hapo Luiz alihusikaje?
Mimi ni fan mkubwa sana wa Luiz ila inavyoelekea na asipojirekebisha, Luiz yatamkuta kama yaliyomkuta Garry Carhill,Sahau, kila mmoja ana role yake. Hivi yale magoli mawili Luiz amesababishaje? Au macho yako hayakuona ?
Mkuu liangalie vzuri gori la kwanza tulilofungwa kosa si la Luiz. Luiz alikuwa sehemu tofauti kabisa. Jamaa wa Red bull akapenetrate na kuruka katika aneo ambalo aliona upenyo wa kufunga. So Luiz alikuja amekimbia kumzuia lkn jamaa alikutana na mpira kabla ya Luiz. Ila before the kicking Luiz wasn't behind a scorer. He was far away from himNadhani hujaangalia mpira
Kuna mambo miwili hapa,
Kwanza magoli Luiz analaumiwa ni yale ambayo yeye alihusika direct mfano goli la kichwa la redbull nenda kaangalie tena youtube, Luiz kakaa nyuma ya mfungaji hata bila jitihada za kuzuia zozote hakufanya
Pili uzembe kama huu hatutegemei kwa defender ambaye ni first choice na mzoefu kama Luiz, hayo akifanya defender mwingine ambaye sio first choice na mzoefu lawama huwa ni ndogo au hakuna kwa sababu ndio level yake
Luiz ana mambo mengi mazuri, kumpoteza kwenye first team ni pengo kubwa na ndio maana mashabiki wanamlalamikia, angekuwa ni mchezaji mwingine wa kawaid no one care after all hatapewa nafasi ya kutuumiza
