Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tammy n mzuri ila 30+ ni mrefu kwa mchezaji yeyote EPL
Ni kweli, hiyo ni comment ya mashabiki waliovutiwa na uchezaji wake
Ila 20+ tunayo pale
Huko nyuma nimiluelezea Tammy uchezaji wake ni tofauti na strikers wa sasa wa Chelsea kama akina Bat na Giroud
Tammy yuko positive minded
Ana njaa ya kufunga magoli na anajiposition kwenye strategic position za kufunga
Giroud hapendi kufunga anapenda kupeleka mpira kwa wengine kitu ambacho sio mbaya lakini ni mabaya kama unayempelekea ni mzemebe kama Morata
Batshuayi anajitahidi lakini sio mfungaji wa kuzidi 10 goal per season labda mwaka huu afufuke
Ila naamini Katika mastriker wawili akicheza Giroud na Tammy magoli yatakuwa ni mengi tu
 
Mshabiki mmoja kasema hivi
  1. From Petr Cech to Kepa.
  2. From John Terry to David Luiz
  3. From Ashley Cole to Alonso
  4. From Cesc Fabregas to Jorginho
  5. From Frank Lampard to Barkley.
  6. From Didier Drogba to Morata/Giroud
Chelsea have been downgraded so much
 
Chelsea mwaka huu kila mtu atajipigia tuuu...hta waliopanda daraja msimu huu... Hamna wachezaji wala kocha pale......subirini mtaniambia....!!!tena lampard anafukuzwa kabla ya mwezi desemba mi nawaambia
Wewe dogo naona unajifunza kutumia mitandao, Hongera sana
 
the Lamps Style.....Press, Posses and Create chances...

Chelsea mwaka huu kila mtu atajipigia tuuu...hta waliopanda daraja msimu huu... Hamna wachezaji wala kocha pale......subirini mtaniambia....!!!tena lampard anafukuzwa kabla ya mwezi desemba mi nawaambia
Huu muandiko unaashiria ugeni na kutoelewa anachozungumza na kutowajua anawaambia.
 
Chelsea mwaka huu kila mtu atajipigia tuuu...hta waliopanda daraja msimu huu... Hamna wachezaji wala kocha pale......subirini mtaniambia....!!!tena lampard anafukuzwa kabla ya mwezi desemba mi nawaambia
''pole sana''unaonaekana una 18years
 
Mkuu hivi Ngwaba ameacha kuhesabu ngoja nimsaidie

Liverpool
  • Win = 1 against Bradford City
  • Draw = 1 against Sporting
  • Lost = 2 against Dortmund and 10 men of Sevilla

Play 5
√ Win 2
× Lose 2
• Draw 1

Weka hesabu sawa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom