Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Lampard ameamua kuwatumia wafuatao kwenye CD
David Luiz, Antonio Rudiger, Andreas Christensen and Kurt Zouma
Fikayo Tomori na Jake Clarke wataenda kwenye mkopo kujinoa Zaidi kwa ajili ya msimu wa 2020/21
 
Chelsea winger Callum Hudson-Odoi has agreed to sign a new 5-year contract value at £100k-a-Week
 
Jourgninho alikuwa underrated and wasted under Sarri last season na philosophy isiyofanya kazi. Anatufaa sana Chelsea hasa kwenye huu mfumo wa Lampard akicheza register wawili kama walivyocheza na Kovaci, hope itakuwa hivyo hivyo na Kante
yuko fast akipokea mpira na kutoa pasi saa hiyo hiyo na ndivyo alivyofanya kwenye goli la Tammy jana
 
Ila kwa Loftus Cheek watakaa
Barkcley anacheza kama mchezaji mpya chini ya Lampard. Utadhani sio yule Barkley wa Sarri
Iko kazi, akipona RLC na Mount anacheza balaa Lampard atakuwa kwenye wakati mgumu kuchagua nani aanze kwa sababu wote ni wazuri kwenye level inayofanana
 
Tammy Abraham: 30+ league goals incoming

Munarejea Yale ya Hazard last season pale baadhi ya Washabiki wa Chelsea walipodai atafunga 30+ goals za EPL. Tulipowakosoa na tukawaambia hatofika hata 20+ wengine mpaka leo hii wamenunua kama wanawake.

Sasa na wewe umeshaanza kumpa mtu 30+ kwasababu tu anafunga kwenye preseason.

Kwanza nakuelewesha tu kuwa Ligi ya EPL Luna tabia ya kuwaumiza madogo waliopo U20 pale wanapokuja kwa kasi na ndoyomana ni vigumu kwao kufika hata 15+ per season.

Kumbuka Rooney, Owen, Gomez, Agger, Jesus, Van Persi na wengineo.
 
Tammy n mzuri ila 30+ ni mrefu kwa mchezaji yeyote EPL

Angalau umeongea ukweli, Coz rekodi inaonesha tokea Alanshearah 1995/6 alipofunga goli 30+ za league basi alikuja Akafuata Ronaldo 2008/09, then akaja Suarez 2013/14 ikisha akaja Salah 2017/18.
Hao wote wamefikisha magoli hayo wakiwa ni Wachezaji Waandamizi wakiwa kwenye peak zao.

Lakini kumtabiria dogo kama Abraham kufikia kiwango cha 30+ ni jambo gumu sana.
 
Hii inamaana gani?
FB_IMG_15639593361961365.jpeg
 
Bora rlc n mason mount
Barkley atacheza 2 games yupo katik form 10 games yuko hovyo
Barkcley anacheza kama mchezaji mpya chini ya Lampard. Utadhani sio yule Barkley wa Sarri
Iko kazi, akipona RLC na Mount anacheza balaa Lampard atakuwa kwenye wakati mgumu kuchagua nani aanze kwa sababu wote ni wazuri kwenye level inayofanana
 
Hawa wanaenda kwenye mkopo msimu ujao:
  1. Kenneth Omeruo,
  2. Baba Rahman,
  3. Tiemoue Bakayoko,
  4. Matt Miazga,
  5. Jake Clarke-Salter,
  6. Izzy Brown,
  7. Lucas Piazon,
  8. Dujon Sterling,
  9. Lewis Baker,
  10. Fikayo Tomori
  11. Trevoh Chalobah
 
Jourgninho says, he is looking forward to the freedom that Lampard's style of play will afford.
 
Kurt Zouma: The 'New Marcel Desailly' Deserves a Starting Berth at Chelsea in 2019/20
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom