Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Moja Kati ya kitu ambacho nimekipenda alicholeta lampard ni kupressing katika maeneo muhimu pamoja kufanya movement za haraka tofauti na mpira wa sarri ambaye tuna possess maeneo sio muhimu ndo maana unaweza ukakuta tuna possess 80% lakini unakuta tunapigwa 4 bila.kingine nikumbadilisha gojinho role ukiangalia game ya Leo na Barca kovacic na gojinho wametengeneza best partnership in midfield km ile ya kante na matic yaani wote wanacheza km no 6 lakini pia wote km no 8 mmoja akipanda mbele mmoja anarudi nyuma yaani wamemvuruga kabisa Sergio bosquet Kuna wakati wanapress maeneo hatari sometime wanacheza mpira wakiuni Leo kiukwel Chelsea wameonesha excellent performance.Big up lampard
 
Hapo kwenye pressing nampa heko
 
Nilisema haya wakati Lampard anakuja wale wasiojua mpira wakanitukana

Naaamini mambo yatakuwa pouwa kwa lamps.
 
Sometimes tunapoteza energy kubishania vitu ambavo havipo, they just exists in an illusion world. Wakija tuwe tunawaacha walonge wakimaliza waondoke. Preasons matches ni mechi za kuwajaribu wachezaji mpaka yale makapikapi ili yakitupwa nje ya timu yasije kulaumu na kuigawa timu, pili wachezaji wengi wanacheza kwa tahadhari kukwepa majeruhi. Matokeo yake ndio hiyo saa nyingine unafungwa na Ndondo FC

For sure
 
Kyatile the end of the day tutaimba wimbo mmoja me mwenyewe nilikuwa nashangaa sijui kwanini walikuwa wanamponda lampard?
 
Kila goti litapigwa pale darajani msimu ujao na kila ulimi utakiri ya kwamba Chelsea ni timu kubwa.
In Lamps we trust
 
Reece James anabaki Chelsea kusaidiana na Azpi, Tomori na Clarke-Salter wanapelekwa kwenye mkopo
 
Barkcley anacheza kama mchezaji mpya chini ya Lampard. Utadhani sio yule Barkley wa Sarri
Iko kazi, akipona RLC na Mount anacheza balaa Lampard atakuwa kwenye wakati mgumu kuchagua nani aanze kwa sababu wote ni wazuri kwenye level inayofanana
 
Reports have suggested that Callum Hudson-Odoi is set to pen a five-year deal worth around £100,000 per week to keep him with the Blues.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom