Kyatile
JF-Expert Member
- Feb 5, 2017
- 1,736
- 1,582
Chelsea ambacho hairuhusiwi ni kusajili mchezaji mpya ila inaruhusiwa kuongeza mikataba ya wachezaji ilionao au kuwarejesha wachezaji walio kwenye mkopo
Naona tuko pamoja, kwa sababu ya ban, Kovacic hata kama tukimtaka hatutaweza kumsajili
Willian, Giroud na Pedro wanacheza vizuri lakini kwa sababu ya age sio wa kuwatumainia kabiusa, kama msimu uliopita, mechi Fulani wako fit nma mechi nyingine wamedorora. Vivyo hivyo vijana wadogo wa 20 and below pia sio wa kuwategemea kwa sababu bado wako kwenye growing phase, mimi forward namuamini Zaidi tammy over Giroud lakini bado sio wa kumuamini kenye title race kwa sababu anakua bado
Tukibaki kwenye no. 3 msimu ujao tutamshukuru Mungu lakini kwenye title ni miujiza ya football
Labda Liverpool na Mancity kutokee mgogoro wa ajabu sana