Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 25,012
- 56,303
Mnafungwa hadi na timu za kwenye ndondo
Hao waache waendelee kutapatapa, sisi tunaendelea kujenga kikosi kitakacho washangaza msimu ujao..
Mnafungwa hadi na timu za kwenye ndondo
ndiyo ndiyoi am looking forward to a great season his year!
Wamemla mtu kimoja watoto 18 Japan sio sehemu salamaVipi wazee wa kujenga kikosi naona mumegongwa na wakina Shimoda?
3 gamesWanajifanya kuipotezea game ya leo kama kwamba hakujatokea kitu!
Lampard at Chelsea:
√ 2 games
× 0 Win
InasikitishaMnafungwa hadi na timu za kwenye ndondo
3 games3 games
Win one
Draw on
Lose one
Hii Chelsea yetu itapata taabu
3 games
Win one
Draw on
Lose one
Tulia msimu uanze kwanza.Correct, kuna game moja nadhani sikuifatilia
Tulia msimu uanze kwanza.
Friend match kijana. Siyo ya kutafuta ushindi.Mnafungwa hadi na timu za kwenye ndondo
Nakushauri usiache kuhesabu. Uendelee ivyo ivyo.Wanajifanya kuipotezea game ya leo kama kwamba hakujatokea kitu!
Lampard at Chelsea:
√ 2 games
× 0 Win
Mfumo unajaribiwa,Dalili zinaonekana mapema! Kumbuka kuwa hawa munaowajaribu sasa ndiyo watakaoziba nafasi za kutokusajili kwenye madirisha Mawili...
Mfumo unajaribiwa,
Wachezaji wanacheza kukwepa majeraha,
Siyo mechi ya kiushindani hivyo hata morali haiwezi kuwepo.
Mnashadadia kufungwa kwetu na hivyo vyote hapo juu mnavielewa. Teh
Lampard atashinda michezo 10 tu epl nzima subirini mambwa nyieTulia msimu uanze kwanza.
Wamefungwa na waendesha boda bodaFT kutoka Japan.
kawasaki Frontale 1
V/S
Chelsea 0




