Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hivi game za Futuhi na Carabao without Hazard ndiyo unataka kufananisha na EPL & UCL without Hazrd?

Wrong stats.
Mimi King Ngwaba sikujui hata unafananaje, ila kwa messages zako sasa nakujua kuwa wewe ni nani kutokana na hizo messages zako, no logic, no context, no sense
 
Sarri amkataa Jorgninho, asema Miralem Pjanic anatosha kwenye mfumo wake pale Juve
 
Hii rekodi ya Petr Cech haitakaa ivunjwe

Fewest PL goals conceded in a season: Goals conceded =15 in 2004/05
Most PL clean sheets in a season: clean sheets = 25 - in 2004/05
 
Hivi mimi peke yangu ndo naamini Chelsea itakuwa competitive msimu ujao 2019/2020?

Yaani nyuma una:
Emerson/Alonso | Luiz/Zuma Zuma/Rudiger | Azipillicueta/James Leece/Zapacosta

Kati una:
RLC/Barkley Kante/Kovacic Joginho

Kwenye attacking una:
CHO/Willian Giroud/Tammy Pedro/Pulisic

Alafu kuna watu wanadhani Chelsea iko level moja na Man U au Arsenal?

We need some few adjustments to lift a trophy this season.
 
hizo adjustment unazozisema tutazifanya vip wakati tumefungiwa madirisha mawili ya usajili?
 
mkuu unamaanisha Petre Cech? Kama ni huyo alitangaza kustaafu mwishoni mwa msimu huu, ile fainali ya Europa ndio ilikua game yake ya mwisho
Kama alikuwa mzalendo kwanini alienda arsenal?
 
kwenye mpira lolote linaweza kutokea mkuu, halafu sababu kubwa iliyomfanya aende Arsenal ni familia yake watoto wake bado walikua wanasoma London, na boss aliliridhia hilo akampa go ahead kiroho safi tu
 
Na Courtois alipaswa kuwa kipa namba moja. Hilo ndo lilileta shida zaidi
 
Hivi mimi peke yangu ndo naamini Chelsea itakuwa competitive msimu ujao 2019/2020?

Yaani nyuma una:
Emerson/Alonso | Luiz/Zuma Zuma/Rudiger | Azipillicueta/James Leece/Zapacosta

Kati una:
RLC/Barkley Kante/Kovacic Joginho

Kwenye attacking una:
CHO/Willian Giroud/Tammy Pedro/Pulisic

Alafu kuna watu wanadhani Chelsea iko level moja na Man U au Arsenal?

We need some few adjustments to lift a trophy this season.
Ondoa kuanzia kati hadi mbele
  1. RLC/ injury not less than half a season
  2. Barkley sio title contender level
  3. Kovacic hatakuwepo
  4. Willian Giroud/Pedro/ wazuri kwa sub - wanakuwa wazuri wakiwa na strong forward teammates au midfields wazuri
  5. CHO/Pulisic/Tammy = still growing

Mimi King Ngwaba sikujui hata unafananaje, ila kwa messages zako sasa nakujua kuwa wewe ni nani kutokana na hizo messages zako, no logic, no context, no sense

Kwahiyo kutuaminisha kuwa Mulicheza Michezo ya EPL with Hazard mukapoteza baazi, Na Mukacheza Uropa na Carabao without Hazard bila ya Kupoteza, Ukaamua kulinganisha kuwa Without Hazard mumeshinda Michezo mengi! Hiyo ndiyo Logic? Context? Sense?

Unapofanya Comparison basi iwe kwenye same level siyo different level..

Sote tunajua kuwa Hazard alipumzishwa mwchi nyingi za Uropa na Mukashinda! Lakini ukaamua kucompare kuwa mulishinda bila ya Hazard kwa kufananisha na muliyopoteza with Hazard ambayo mengi ni EPL.

Ni sawa na kusema Samatta ana stats nzuri za Ufungaji kuliko Giroud kwasababu tu msimu uliopita kafunga magoli mengi Ubelgiji.
 
Bado una ujasiri wa kutetea offpoints. Sarri mwenye kakiri Hazard alimpa head ache kuipanga timu wakati anacheza kwa sababu ilibidi ile natural 4-3-3 ivurugike. Pia kasema Hazard alipocheza alisababisha Defensive problem kwa sababu ya uchezaji wake.
 
Magoli mengi waliofungwa Chelsea yalikua yakipitia upande wa kushota.Na Hazard ndio sababu mana hakua akimsaidia beki wa pembe yake. Tafauti na kina Pedro walikua wakiisaidia sana Defense.

Na Pia Hazard alikua na tatizo la kutokufungua au kujitoa kwenye nafasi kwa ajili ya kuaomba mipira. ALikua anasimama tu kwenye maeneo. Na hilo Sarri alililalamika sana mpaka kwenye Media.
Sarri hapendi wachezaji wavivu, Na ndio Mana Ronaldo tayari ameshaambiwa ajiandae kucheza No 9 nasio pembeni.
 
Ondoa kuanzia kati hadi mbele
  1. RLC/ injury not less than half a season
  2. Barkley sio title contender level
  3. Kovacic hatakuwepo
  4. Willian Giroud/Pedro/ wazuri kwa sub - wanakuwa wazuri wakiwa na strong forward teammates au midfields wazuri
  5. CHO/Pulisic/Tammy = still growing

Giroud mm namuamini ila ni more of a team player. Katika timu ya Chelsea ambayo kila mtu anataka hacheze mpira wake, utam-underate Giroud.

The main concern hapo ni injury ya RLC.

Kuhusu Kovacic timu yaweza kumchukua moja kwa moja kwa kuwalipa Madrid maana msimu huu hawamhitaji.

CHO has matured, with Willian and Pedro to provide the experience, CHO and Pulisic in there too we are not bad though had it been not for the ban, we needed an upgrade of our CF.
 
Naona tuko pamoja, kwa sababu ya ban, Kovacic hata kama tukimtaka hatutaweza kumsajili
Willian, Giroud na Pedro wanacheza vizuri lakini kwa sababu ya age sio wa kuwatumainia kabiusa, kama msimu uliopita, mechi Fulani wako fit nma mechi nyingine wamedorora. Vivyo hivyo vijana wadogo wa 20 and below pia sio wa kuwategemea kwa sababu bado wako kwenye growing phase, mimi forward namuamini Zaidi tammy over Giroud lakini bado sio wa kumuamini kenye title race kwa sababu anakua bado
Tukibaki kwenye no. 3 msimu ujao tutamshukuru Mungu lakini kwenye title ni miujiza ya football
Labda Liverpool na Mancity kutokee mgogoro wa ajabu sana
 
Mzee ushakata tamaa mara hii?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom