Kunguru Mjanja
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 2,047
- 3,978
- Thread starter
- #60,681
Man Utd mnamzidi idara ya kiungo tu kwa sasa hivi na tena muda wa kusajili bado
Ila yeye amewazidi sana kwenye Forwards (Talented Martial, Pacy Rashford, Juan Mata, Flop but once world class winger Alexis Sanchez)
Manchester United anatushinda sisi kwenye forward kwa kiwango kidogo sana na kama ukiangalia uwezo wa mchezaji moja moja. Kikubwa sisi bado hatuna target striker mzuri kama Rashford anavyoweza kusimama(Hapo ni kwa kuangalia msimu iliyopita, Sijui Abraham na Michy watakuwaje msimu huu).
Kiungo na Beki yao haitufikii hata kwa dawa, hata kidogo.
