Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

"Appointing a manager with so little experience is a big risk, despite his status as a club legend".

Broo embu tulia kwanza, wakati Zinedine Zidane anaenda Madrid alikua na experiance ipi ya kutisha??

Mawazo ya hao Pundits hayana tofauti na wewe
 
"Appointing a manager with so little experience is a big risk, despite his status as a club legend".

'I'm going to give everything, every hour in the day, to bring a team that fans can be proud of.'

That's all we need
 
Kwangu naona lampard atafanikiwa sana.kuna baadhi ya watu wanahofia kwamba lampard hatafanikiwa kitu kwa kutolea mifano baadhi ya wachezaji waliofanya vizuri lkn wakafeli walivyokuwa makocha.Ngojea niwaambie kwanini lampard atafanya vizuri

1. Anaijua vizuri Chelsea
Lampard amefanikiwa akiwa Chelsea pia ni kiongozi mzuri Sana pamoja na hivyo pia lampard alikuwa mchambuzi mzuri hasa anapocheza Chelsea na pia anajua sifa za wachezaji wa Chelsea ameshastudy mapema Chelsea.
2. Chelsea ina kikosi kizuri
Lampard anaikuta Chelsea ina wachezaji bado wazuri kwa karibia Kila eneo mfano kwenye winga wana pulisic huyu dogo ni fundi ile mbaya Ana skills anakaba anauwezo wakutoa pass Ana Kasi pia anafunga Hadi Sasa hiv kwenye michuano ya cocacap golden cup amefunga goals 3 assist 3 kwenye mechi nne tu,wana willian Sina aja ya kumweleza Sana nadhani mmeona shughuli yake Brazil,wana Pedro na odoi.
Nafasi ya kiungo Kuna kante kumbuka anarudi kwenye eneo lake chini ya lampard,bakayoko,kovasic,lotfus cheek,barkey pamoja na bwana mdogo wakukata na shoka mount
Nafasi za beki Kuna zouma,Luiz,Christen,ludger,alzipicueta,Alonso,Emerson nk.
Nafasi za ushambuliaji Kuna batchuayi,girodi,Abraham najua hakuna fowadi hawa atakayefika 30+ lakini kwa mmoja mmoja kufika goal 10 wanaweza.
3. Kuna wachezaji washindi
Chelsea bado wanawachezaji wana dna ya makombe watamsaidia kumbeba lampard mifano ya wachezaji Kuna Luiz, alzipicueta,kante,girodi,willian na Pedro.
4.tactical lampard ni mzuri
Nadhani mmemuona namna alivyoifunga man u alikuja na aproach nzuri ya game lakini pia anauwezo was kubadilika kutokana na mpinzani wake tofauti na sari.
 
Broo embu tulia kwanza, wakati Zinedine Zidane anaenda Madrid alikua na experiance ipi ya kutisha??

Mawazo ya hao Pundits hayana tofauti na wewe

RONALDO pekee alitosha kumpa mafanikio inexperienced Zidane.
Sasa unganisha na watu wa kipindi hicho kama kina BALE, KROOSE, CASEMIRO, BENZEMA, RAMOS na MODRIC.

Then linganisha na inexperienced Lampard na kikosi chake cha kina CHO, Loftus-Cheek, Luis, Alonso, William, Pedro, Giroud, Higuan, Pulisic, Azip, Kovasic, Joginho and co.
 
Lets wait and see what will going to happen
 
Chelsea yetu inegeuka team ya majaribio kumleta legend Lampard na Drogba kuifundisha Chelsea haswa kwenye kipindi kigumu kama hiki cha zuio la kujiimarisha ni kuirudisha team nyuma ,hakuna good achievement yoyote aliyoifanya Lampard kupewa ukocha Chelsea huko alikotoka ,makocha wote hawawezi kuwa zidane yule jamaa ni bigger mind na tofauti sana .Mimi binafsi sikupenda sarri ball ila bora kitu kuliko kukosa kabisa na ndiko tunaelekea ni bora angepewa team Nuno wa wolves ,kwa makusudi kabisa tumeamua kuwaiga man u kurudi nyuma .
Nataka nione jinsi lampard anavyomfunga klop
 
Huko nyuma nilishawahi kusema njia rahisi ya kucope na pengo aliloliacha Hazard ni kujenga timu icheze nje ya mfumo wa Hazard

Lampard naye anayo haya maoni"

‘You lose a great player of course but then how do you get around that? You work on the team.
 
Lampard kasema club haina target ya kuwa kwenye TOP 4 kwa sababu Chelsea tayari ni club ya top 4

Have you been set the target of the top four?

No they haven’t and they don’t need to. It is clear that we are a club that can be in the top four. I know the club and the standards. It where we need to be.
 
Kabisaaa
 
Kwa ambaye atakuwa hajakuelewa mawazo yako atakuwa na CHUKI moyoni.

Hakuna kitu wachezaji wanapenda kama KOCHA unakuwa sehemu ya maisha yao kuanzia kufanya wote mazoezi.

Pia wachezaji wanamuheshimu sana Kocha ambaye alishakuwa na mafanikio makubwa sana kwenye club husika.

Mchezaji unakuwa mpole anapokea na kufuata maelekezo na unatamani ufikie mafanikio ya kocha katika club.

Wachezaji watamuheshimu sana Lampard, uwepo wake utaamsha hamasa ya ushindi na mashabiki pia.

Lampard tupo nyuma yako

Lakini pia Tutaanza kuona waingereza wengi na mbeleko za fa zikihamia chelsea. Fa wanapenda kutengeneza timu ya taifa kupitoa timu kubwa zinazofundishwa na waingereza kama ilivyokuwa man u wakati wa fergie
 
Chelsea haijawahi kuwapa muda makocha, wasipokuelewa haijalishi wewe ni nani
 
Lampard kasema club haina target ya kuwa kwenye TOP 4 kwa sababu Chelsea tayari ni club ya top 4

Have you been set the target of the top four?

No they haven’t and they don’t need to. It is clear that we are a club that can be in the top four. I know the club and the standards. It where we need to be.
Kajihakikishia kabisa....hongera kwake..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom