Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Roman Abramovich must make decision on Eden Hazard
Keown:
"We saw Hazard shaking hands with Abramovich there. I think there will be a special discussion between the two of them. He’ll have to get permission from the owner to leave. Even if he runs the contract down."
Keown: "I think Abramovich will allow him to leave as he did for Petr Cech when he wanted to go. It will still be a massive loss for Chelsea."
There is something big ..Eden anaeza.akabaki.
 
Hongereni wakuu kwa ushindi mnono. Mi Jana nilipitiwa na usingizi kushtukq saa sita usiku. Daa nimekosa mechi Kali aisee


Salam nyingi kwa Aroon
Ilikuwa gemu kali sana mkuu ..hope ungeangalia uone mpira mtamu safi kabisa usio na presha yeyote..

Arsenal walicheza Dakika 26 tu za mwanzo, baada ya hapo kilichotokea sisi ndo tunajua..
 
Hii ya Petr Cech kuwa Sport Director naona imepangwa na Chelsea kama mind games ili kuwaconfuse Arsenal tar 29
Hata mimi naanza kuunga mkono kuwa ni mind games kutoka kambi ya Chelsea na inaweza kuwa imetungwa na mashabiki wa Chelsea au waandishi wa habari wa upande wa Chelsea.
Sasa washabiki wa Arsenal wanampa pressure Unai Emery amteme Cech tar 29 badala yake wamuweke Bernd Leno
Ilianza na Petr Cech kupata ajira Chelsea, Halafu ikaja Wachezaji na kocha wagombana mazoezini,

Arsenal wakafungwa nje ya uwanja bila ya wao kujua
 
Sari sasa mzee wa kutoka kapa kasababisha jirudi atoke kapa na arsenal anawanyuka
Mkuu Geroud ana kismati na makombe ..Conte alifanya vema sana kumsajili.

Ni kweli tumetoka kapa ..maana gemu mpka sasa ni 4-4 na arsenal atachukua kwa Penalties
 
Petr Cech expected new Chelsea Sporting Director
Taarifa zinasema kuwa Petr Cech yuko karibu sana na Abramovich na huenda akamteua kuwa Sporting Director
Mkuu anajua kabisa anapata kibarua apo darajani halafu atuache kapa??? Haiwezekani ..nasikitika kutangaza jana tulikuwa 12 uwanjani na Cerch akiwemo.

Asante sana Pert Cerch karibu tena Chelsea.
 
Naona fans wengi wa Liverpool na Manure wanaungana kwa kasi kuishabikia Arsenyeto EL final. Tar 29 tujiandae shughuli tunayo hasa kama tutapoteza.

Tuendelee kuipigania timu yetu.
Hahahahahaha wameangukia pua

Hao Liverpool ndo wataangukia pua zaidi apo tarehe moja.

Sisi kama London tutaungana wote kuibeba Spurs..
 
Maurizio Sarri hatafukuzwa labda aondoke mwenyewe
CHELSEA have been ordered to pay £9 million to former manager Antonio Conte as compensation for his sacking last summer.
Chelsea have now been forced to pay out more than a staggering £90 million in compensation to sacked managers since Roman Abramovich bought the club in 2003. Conte won the Premier League and the FA Cup in his two-year stint in charge of Chelsea, who are not expected to appeal against the verdict.
That £90m figure could climb even higher if Abramovich axes current Chelsea manager Maurizio Sarri at the end of this season. But Chelsea could avoid that fate if one of several Italian clubs said to be interested in the 60 year old comes in for him.
Juventus and AS Roma are one of the Eurpena clubs that are interested with Sarri's service.
Kiasi tulichoingiza jana kulipa uyo Conte ni kazi ndogo tu ..wala haitusumbui.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom