Signing is gambling, kigezo cha kwanza cha kujua mchezaji ni mzuri ni takwimu zake, hayo mengine majaliwa
Hayo yalimkuta Tores, morata, giroud na sasa higuani.

Striker pekee ambae naamini anaendana na Chelsea ni michy batshuay inabidi arudi nyumbani
 
Kuna taarifa zinamuhusisha Sarri kujiunga Juve wao wamemalizana na Allegri.

Kwangu naona Sarri anatufaa sana ndio kwanza anaanza kushika moto na kasi inaanza kueleweka ila tu kuna mapungufu anayo nadhani anaweza kujirekebisha kidogo kidogo.

Kwangu naona abaki maana kuna watu washaanza kusema timu Apewe Lampard kitu ambacho ni mapema mno japo naye anaprove anaweza kuhandle vizuri timu yenye vijana. Ila kwangu naona ni mapema kumpa timu Lamps pia ni mapema kumuondoa Sarri.
 
Chelsea ikiachana na sarri utakuwa ujinga wa mwaka kuwahi kutokea Chelsea
 
Kati ya Timu ambayo ni innocuous kweny competetion ya Uefa ni Chelsea!!

Mkuu yani hapo umewatukana Chelsea tusi kubwa sana! innocuous????

Harmless?
Inoffensive?
Toothless tiger?
Headless chicken?
Legless tiger?

Hizo ni baazi ya tafsiri za tusi lako.. Kwa kiswahili tunasema Haina Madhara... Namuona Arsenal akichukuwa kombe kiboyaboya.
 
Watu wa Liverpool bana, yaani umesahau ya kwako na Tottenham unafata ya Chelsea vs arsenal
 
28/8/1998 Chelsea walitwaa taji la uefa super cup

Man of the match alikuwa Guus poyet
chelsea_celebrate_winning_the_1998_uefa_super_cup.jpeg
 
Mkuu yani hapo umewatukana Chelsea tusi kubwa sana! innocuous????
Harmless?
Inoffensive?
Toothless tiger?
Headless chicken?
Legless tiger?
Hizo ni baazi ya tafsiri za tusi lako.. Kwa kiswahili tunasema Haina Madhara... Namuona Arsenal akichukuwa kombe kiboyaboya.
Exactly!! Hii team Arsenal hana presha hata kidogo!!
 
Back
Top Bottom