vip umekosea jukwaa nn
Hiyo ni habar ya michezo kama zongine!! Shida ni kia kila saa unataka kumsikia lampard tu na Sarri. Ngoja na mm nitume za Lincolin City humuvip umekosea jukwaa nn
nimekosea kweli, nilidhani Rice ni Reecevip umekosea jukwaa nn
Taji lake la kwanza kubwa ataanza kunyanyuaSari sasa mzee wa kutoka kapa kasababisha jirudi atoke kapa na arsenal anawanyuka
Hii ndy yenu, nadharia nying mnoTaji lake la kwanza kubwa ataanza kunyanyua
Trust me
Taji lake la kwanza kubwa ataanza kunyanyua
Trust me
Ndugu Radika, hiyo signature yako uiboreshe huwezi kuwa Fan of Man United Fans other wise mimi ndio sikukuelewa. Ni sawasawa na useme Barabara ya Morogoro RoadHawezi yule mkuu
Conte hawezi kurudi aliishtaki timu mahakamani madai ya Euro 10.3M na mahakama imeiamuru Chelsea kulipa hiyo pesa kwa hiyo hiyo possibility ondoa. Anayetarajiwa kuingia Stanford Bridge iwapo Sarri ataondoka kwenda Juve ni Massimiliano Alegri au Frank Lampard. Chelsea wanachosubiri ni Juve kununua mktaba wa Sarri uliobaki wa Paundi milioni 5Sari out, Conte back
Hahahaha hahaha radika mzee babaaaa umefufukaaaa ..kweli Mungu ni wetu sote ..karibu tena mkuu. Naona Ole kafuata kabisa maana ya jina lake ..yani "Ole" ..Ole wenu ninyi fan wa manure, mutapata tabu sana ..yani kawaacha pale pale alipowaacha Mou hahaaha ...Sari sasa mzee wa kutoka kapa kasababisha jirudi atoke kapa na arsenal anawanyuka
Ni kweli mkuu, unajua Chelsea inachukiwa sana maana kila msimu huwa tunafanya kinyume na matarajio ya wengi. Mfn msimu huu uloisha kwenye top four tulitolewa, nafasi ya kubeba kombe ndo kabisa haikuwepo kwetu...Naona fans wengi wa Liverpool na Manure wanaungana kwa kasi kuishabikia Arsenyeto EL final. Tar 29 tujiandae shughuli tunayo hasa kama tutapoteza.
Tuendelee kuipigania timu yetu.
Kwani Higuain kaongezwa mkataba.? Pamoja na hivyo nadhani hatufai huyu jamaa. Tuwape nafasi kina Tammy na Batshuayi.Giroud ni mnufaika mmojawapo wa transfer ban.
Kuna uwezekano mkubwa wa Kovacic na Higuaín kusajiliwa au kuongezewa mkataba kama hii bana itaendelea kuwepo
Pia hii ban ni habari njema kwa youngsters kama akina Reece, Tammy Abraham na wenzake
Na ndio maana Chelsea wamekawia kupeleka appeal yao kwa CAS, nadhani wanapima kama ipi option ina manufaa kwa timu. Option ya kusajili upya au ya kutumia rasilimali iliypopo.
Kama hii ban isingekuwepo, Giroud, Higuaín wasingeongezewa mkataba
Haujawataja Batshuayi, Tomori na Bakayoko.Rasilimali za Chelsea zilizo tayari hizi hapa
- Reece James – Wigan Athletic -20-year-old play as RB
- Ola Aina – Torino - 22-year-old play as RB
- Kurt Zouma – Everton - The 24-year-old play as CB kama huamini angalia hapa https://www.youtube.com/watch?v=KIq5mVQsEMs
- Christian Pulisic – Borussia Dortmund - 20-year-old play as LW
- Tammy Abraham – Aston Villa -21-year-old play as striker
- Mason Mount – Derby County - 20-year-old play asMidfield
Sarri abaki. Wewe unasemaje.?Tofauti ya Sarri na makocha kama Conte, Mou, Anceloti ni kwamba
Sarri is a Book minded Coach
hao wengine ni Results based coaches