Kwa Mara ya Kwanza Masigara ananyanyua kwapa. Kwa kubeba kombe la Europa Champion league.Furaha ya kombeView attachment 1111772
Ukitaka kupiga hela msikilize geff wa clouds huyu mwamba watu wa betting hatuangushi wengine wanachambua tu huyu jamaa anatuongezea kipato ,akikosea ni Moja ya kumiEdo Kumwembe alitabiri fainali ya EL kati ya Chelsea na Arsenal anshinda Arsenal halafu UEFA anashinda Liverpool then kwenye Super Cup anachukua Liverpool.
Hawa wachambuzi wetu sijui huwa wanaona mpira wa ulaya ni kama wa bongo waliouzoea.
Jana nimemuona sijui alikuwa anaelekea wapi?Edo Kumwembe alitabiri fainali ya EL kati ya Chelsea na Arsenal anshinda Arsenal halafu UEFA anashinda Liverpool then kwenye Super Cup anachukua Liverpool.
Hawa wachambuzi wetu sijui huwa wanaona mpira wa ulaya ni kama wa bongo waliouzoea.
Achakabisa!yaani hadi huruma,lakini midomo yao ndo iliwaponza walisahau kuwa Chelsea ni wazoefu kwenye shows za kibabe Kama hizi.Arsenal wamepigwa wakachakaa
😛Hapa pana Kamsiba unatarajiwa kutokea
Hivi Auba na Laka mumeshawahi kuwasikia?
Sijui mutawazuia kwa njia gani!
Hahahahaha dah! Sijui itakuwaje apo ila tutaenda kuwapa pole tu ..hakuna namna mkuu..Yaani ushiriki mauaji halafu ushiriki na kwenye kamati ya mazishi?? Haiwezekani, tena ukionekana kwenye msiba watakuua.
Arsenal alikuwa overrated sana mkuu.Mentor ulinivunja moyo Sana hapa kwa ihii come t yako
Kati ya Timu ambayo ni innocuous kweny competetion ya Uefa ni Chelsea!!
Hello King Ngwaba???Mkuu yani hapo umewatukana Chelsea tusi kubwa sana! innocuous????
Harmless?
Inoffensive?
Toothless tiger?
Headless chicken?
Legless tiger?
Hizo ni baazi ya tafsiri za tusi lako.. Kwa kiswahili tunasema Haina Madhara... Namuona Arsenal akichukuwa kombe kiboyaboya.
WachambuZi uchwara wa bongo wamejaa ushabiki mwingi ..halafu Chelsea ni most hated team sababu huwa inafanya wonders sana. Unaeza shangaa na Spurs akamuumbua uyo Eddo. Na supercup tukabeba..Edo Kumwembe alitabiri fainali ya EL kati ya Chelsea na Arsenal anshinda Arsenal halafu UEFA anashinda Liverpool then kwenye Super Cup anachukua Liverpool.
Hawa wachambuzi wetu sijui huwa wanaona mpira wa ulaya ni kama wa bongo waliouzoea.