The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,011
- 11,433
Na hakuna alicho au atakacho-ambuliaMchizi msimu wake wa pili kafika fainali mbili, carabao na Europa ...mimi nadhani tutembelee nyota yake..
Na hakuna alicho au atakacho-ambuliaMchizi msimu wake wa pili kafika fainali mbili, carabao na Europa ...mimi nadhani tutembelee nyota yake..
Wewe tulia hivyo hivyo kaa kwa kutulia apo Namba sita.Na hakuna alicho au atakacho-ambulia
Na tuone utakachopata tar 29 next weekWewe tulia hivyo hivyo kaa kwa kutulia apo Namba sita.
Expected answersmhh!!
Mimi ni mtu wa mahesabu
If Chelsea is on top of Arsenal and Ma u in EPL table and provided that
Chelsea is
Fill the blanks below Arsenal is
- Harmless?
- Inoffensive?
- Toothless tiger?
- Headless chicken?
- Legless tiger?
Nafikiri hayo mahesabu sio magumu kwa akina Honesty na King Ngwaba kujaza
- ______________________________________
- ______________________________________
- ______________________________________
- ______________________________________
- ______________________________________
and also Man United is- ______________________________________
- ______________________________________
- ______________________________________
- ______________________________________
- ______________________________________
Chelsea atashinda nyingi tu mkuu. Arsenal anaenda kukamilisha ratibaNa tuone utakachopata tar 29 next week
Abarikiwe sana. Arejee tu kwani alifanya makubwa san darajani.Anarudi Chelsea kama mkurugenzi wa michezo wa clubView attachment 1104370
Kumbe ueropa Ni LeoAbarikiwe sana. Arejee tu kwani alifanya makubwa san darajani.
Mkuu, game ya leo (Europa final) itakuwa saa ngapi hapa Tanzania?
Sijui kwa kweli. Niko pori. Nifahamisheni plz kama ni leo au next week!Kumbe ueropa Ni Leo
Sio jumatano ijayo??
Eurpa ni tarehe 29/5/ mkuu sio leoAbarikiwe sana. Arejee tu kwani alifanya makubwa san darajani.
Mkuu, game ya leo (Europa final) itakuwa saa ngapi hapa Tanzania?
Kama Geroud atakuwa ameongezewa mkataba basi ni khabari njema sana. Mchizi afungi magoli lakini nyota yake inang'a sana kwenye kubeba makombe...
Alipokuwa arsenal kabeba FA mbili, community Shield mbili, France bila hata shot on target kabeba World Cup, kaja Chelsea msimu wake wa kwanza kabeba FA, msimu wake wa pili kafika fainali mbili, carabao na Europa ...mimi nadhani tutembelee nyota yake..
Afadhali nimeuliza. Nilishajiandaa kukesha leo.Eurpa ni tarehe 29/5/ mkuu sio leo
Kazi inamfaa sana. Tuwarudishie mpira wenye mpira wao. Nategemea kuwaona wengi wakirejea atleast wanaweza kuwa na uchungu na timu yetu na sisi mashabiki siyo hawa wakina Marina.Petr Cech expected new Chelsea Sporting Director
Taarifa zinasema kuwa Petr Cech yuko karibu sana na Abramovich na huenda akamteua kuwa Sporting Director
Anarudi Chelsea kama mkurugenzi wa michezo wa clubView attachment 1104370
Conte hawezi kurudi aliishtaki timu mahakamani madai ya Euro 10.3M kwa hiyo hiyo possibility ondoa. Anayetarajiwa kuingia Stanford Bridge iwapo Sarri ataondoka kwenda Juve ni Massimiliano Alegri. Chelsea wanachosubiri ni Juve kununua mktaba wa Sarri uliobaki wa Paundi milioni 5Sari out, Conte back
Na ni kitu ambacho hakiwezekaniChelsea wanachosubiri ni Juve kununua mktaba wa Sarri uliobaki wa Paundi milioni 5