Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kloop na gundu lake la makombe sijui kama atalifuta hilo.

Mi yeyote atakayebeba sawa tu.

Pupa inaweza kuwaumbua Liverpool wasipokuwa makini na mchezo huo
 
Ngoloooo MTU na Bahati zake
seputar.chelsea___ByFFWjGghzj___.jpg
 
UEFA CUP FINALS

In 2004
Total goals scored: 5
Chelsea 3 - Arsenal 2

In 2019
Total goals scored: 5
Chelsea 4 - 1 Arsenal
 
Eden hazard

Match 352

Magoli 110

Assist 92

Makombe

EPL 2
Europe league 2
FA cup 1
Carabao cup 1

Mchezaji bora Chelsea Mara 4

Mchezaji bora wa EPL Mara 1

Miaka saba yenye mafanikio, nenda Hazard na nakutakia mafanikio mema zaidi
chelseafc___ByD1gK4JCeX___.jpg
 
Chelsea ndio club yenye mafanikio zaidi tangu mwaka 2000 kwa team kutoka kutoka uingereza ikiwa imetwaa mataji 17 ikifuatiwa na Man U na Liverpool
 
Wachezaji wa Chelsea ni mastaa haswa, ukichunguza kila mmoja amewahi kutwaa mataji makubwa ya ulaya. Kila mmoja anaelewa umuhimu wa kutwaa kombe katika finally
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom