Bado Spurs ..London itakuwa Blue and White..!!King Ngwaba sijui anajisikiaje huko.
HahahahahahahahahahahahhahahahahahahahahahahahaaHamtamuona mkuu AROON humu dawa ya jeuri ni kiburi
Naona umekubali.This is Chelsea!!
Wale hater wa Luiz, jana kaibeba defense vizuri kweli pamoja na ChristiansenLuiz na ndoo yake View attachment 1111778
Nipo mkuu nipo kwenye msiba mzito sana ..maana majirani hawakutarajia kukutana na kipigo cha mbwa koko ..hivyo niko kwenye kamati ya mazishi na kesho tutaaga mwili wa marehemu mapema tu asubuhi kisha tunafunga jiwe kubwa shingoni kwa mwili wa marehemu halafu tunatupa baharini. HahahahahahaOllachuga
Ollachuga
Ollachuga
Where are you Brother.
Haya sasa. Pipa la mavi umebeba weweLabda ndoo ya mavi
Machozi yananitoka bro, yaan huyu jamaa anajua balaa he is a real blue, lv you hazaaaaNiliomba ufunge 2 umefunga
Niliomba assist umetoa
Nikupongeze tu kwa hilo na niseme tu Niko tayari kukuaga sasa.
Siku zote nitakuwa nawe pale ulipo, kama star ninaekukubali mno kuliko yeyote hapa duniani.
Asante kwa miaka saba iliyoshiba na kiwango kisichoshuka kutoka kwako
.good bye EDEN HAZARD
Nikutakie mafanikio mengine huko uendako, asante kwa kila kitu ulichoifanyia club yetu ya Chelsea
Nitabaki kuwa fans wa Chelsea
Nitabaki kuwa shabiki wa Eden Hazard popote aendapo.
Na niseme tu siku atakayotambulishwa rasmi kwenye club yake mpya nitabadilisha avatari yake, kutoka kuvaa blues colour hadi white colour ya real madrid.
View attachment 1111779
Atabaki kuwa na damu ya BlueNiliomba ufunge 2 umefunga

Nipo mkuu nipo kwenye msiba mzito sana ..maana majirani hawakutarajia kukutana na kipigo cha mbwa koko ..hivyo niko kwenye kamati ya mazishi na kesho tutaaga mwili wa marehemu mapema tu asubuhi kisha tunafunga jiwe kubwa shingoni kwa mwili wa marehemu halafu tunatupa baharini. Hahahahahaha
Mentor ulinivunja moyo Sana hapa kwa ihii come t yakodaa wenzetu tayari washazoea mazingira, ss ndio tunawasili siku moja kabla? Timu kwanza imekosa motivation naona hii game wanaichukulia poa tu