The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,011
- 11,433
This is Chelsea!!
Hataki kucheza ndani ya kivuli cha mtu mwingine...pale madrid yeye ndio atakua top sasa,kila mtu atamwangalia yeye ,kule barca na messi wao hata umsgushe yesu pale hawawezi kumwelewa kabisa haahhahaha
Aisee hawaeleweki kabisa..ila pia upungufu wa majina na hatari kwenye soka yamepungua kwa kiasi kikubwa sana,Probably, ila Madrid mpaka sasa siisomi mipango yao kabisa.
Ngoja tuone wanamchukua nani kwenye usajili huu.
Aisee hawaeleweki kabisa..ila pia upungufu wa majina na hatari kwenye soka yamepungua kwa kiasi kikubwa sana,
Ukimwacha mbappe na hazard sioni jina jingine la kuibeba madrid kama ilivyo falsafa yao
Mo salah nooo
Kane nooo
Mane noo
Europa League Records for 2018/19
- Olivier Giroud is the top scorer with 11 goals for 2018/19 Europa League
- Chelsea win Europa League title by winning all matches except one draw of 2-2 with Vidi at group stage. Chelsea possibly drawn that game because they were already qualified for knockout stage
Penalti sio ushindiWamedroo 3 au ya frankfurt umeisahau home and away zote kasuluhu