Wachezaji wanacheza hovyo hakuna muunganiko yaani tumepooza
Mungu tusaidie chelsea tunyanyue kwapa leo
Hakika nae ni mmoja wa malegend wetu...ka archive mambo mengi sanaHarzad ameaga na kuwashukuru wapenzi wa Chelsea kwa miaka 7 aliyochezea
Ameaga muda gani?Harzad ameaga na kuwashukuru wapenzi wa Chelsea kwa miaka 7 aliyochezea
Nilitamani sana apate uefa pale...
Sio giroud t ata cante Ana kismati na mkombeGiroud kweli ana kisimati cha makombe
Higuaín na Hazard hawaelewani mbele bora alibaki Giroud mpaka mwishoSo far tumeonyesha total dominance anapaswa Giroud kutoka Higuan anajua kushoot na nafasi za kushoot Hazard na Emerson wanazitengeneza sana tu
Sijui kwanin anaenda madrid lakin nilitaman sana nione combination ya hazard messi NeymarKwa miaka aliyobakiza UEFA anapishana nayo kwenda Madrid.
Ni Liverpool na Man City ndiyo wenye uhakika na UEFA kwa miaka 4 ijayo.
(Tumeiondoa hii ya 2019 ya Liverpool).
Hajaaga, wewe umeweka ya kwako. Inaweza kuwa hii ni mechi yake ya mwisho lakini uhamisho wake bado haujafikiwa maamuzi. Chelsea wanataka Paundi 130m, watupe ili Hazard ahame kwa heshima, mchezaji mzuri hivi halafu wao wanataka kutupa below 100MHarzad ameaga na kuwashukuru wapenzi wa Chelsea kwa miaka 7 aliyochezea
Sijui kwanin anaenda madrid lakin nilitaman sana nione combination ya hazard messi Neymar
Mbele yao awe minjino
Hataki kucheza ndani ya kivuli cha mtu mwingine...pale madrid yeye ndio atakua top sasa,kila mtu atamwangalia yeye ,kule barca na messi wao hata umsgushe yesu pale hawawezi kumwelewa kabisa haahhahahaBarca pia ingekuwa chaguo zuri, ila naona hawajawahi hata kumzungumzia.