eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,400
Hiyo ndio maana halisi ya wanaume wanaojiamini mkuu mentor,Arsenal wanaonesha wana uchu na kombe kuliko sisi. Waliwasili Baku Jumamosi ilhali sisi ni Jana tu ndo timu imewasili.
Kwa leo kushinda ni wachezaji wenyewe waamue tu kwa kweli.
Siku moja kabla ya match na ndoo tunabeba
