My Starting XI prediction today
- Kepa
Andreas Luiz- Azpi
- Emerson
Jourginho Kovacic- Barkley
Pedro- Hazard
- Giroud
Kugombana ni kawaida mkuu hilo wala lisikutishe, Chelsea ananyanyua ndoo leoTimu imeshapoteza focus ya mchezo wa leo, yani wachezaji wanagombana na kocha anasusia mazoezi, hii ni hatari
Poor Chelsea leo Kante asipokuwa fit, midfields hakuna wa kusub labda kinda Conor GallagherMkuu Substitutions watakuwa kina nani?
daa wenzetu tayari washazoea mazingira, ss ndio tunawasili siku moja kabla? Timu kwanza imekosa motivation naona hii game wanaichukulia poa tuArsenal wanaonesha wana uchu na kombe kuliko sisi. Waliwasili Baku Jumamosi ilhali sisi ni Jana tu ndo timu imewasili.
Kwa leo kushinda ni wachezaji wenyewe waamue tu kwa kweli.
Hahahhahahahahahakwa upande wangu mimi sioni kosa la higuain lipo wapi pale yeye alimwambia tu kwa maoni yake kuwa hii game tunaenda kupigwa kipigo cha aibu na arsenal bora tusiingize timu uwanjani maana wale kina lacazette wewe huwezi kuwazuia,ndipo luiz akawaka
Taarifa za uongo hizi. Sarri kaondoka uwanjani sababu ya waandishi wa habari siyo ishu ya Luiz na HiguainLuiz na Higuain wametibuana kwenye mazoezi, na Sarri nae kakasirika na kuondoka uwanjani.
Jamani hii sasa kitu gani tena na siku imebaki moja tuu kucheza fainali...
Wewe! Chelsea hata ikichezesha kikosi b bado Asernal mtafungwa tunza haya maneno yangu.kwa upande wangu mimi sioni kosa la higuain lipo wapi pale yeye alimwambia tu kwa maoni yake kuwa hii game tunaenda kupigwa kipigo cha aibu na arsenal bora tusiingize timu uwanjani maana wale kina lacazette wewe huwezi kuwazuia,ndipo luiz akawaka
Duuh km wachezaji wenyewe hawana ushirikiano tunategemea nn.? Tusuboriuuniza tu, ndio jibu.Ndugu ulichokiandika hapo hata sio ushabiki bali ni kupoteza muda maana hicho kitu hata watoto wa chekechea hawawezi kufanya na kumsingizia Higuaín kasema utumbo wa namna hiyo.
Kosa analo tena kubwa na Luiz yuko sawa, Higuaín kamshambulia Luiz kwa nyuma Luiz akaja juu. Kamshtukia Higuaín alitaka kusababisha majeruhi na Luiz aliona hakukuwa na haja ya Chalenge kama ile ambayo ingesababisha majeruhi kama ya Kante. Nahisi kuna hujuma inaendelea ndani ya Chelsea na kushinda game ya leo baadaye ni majaliwa. Jioni ya tar 28 ni kama imeenda bure kwa sababu hakukuwa na mazoezi yeyote ya maana, Kante kajifanyia jogging peke yake akaondoka mapema kabla ya wengine. Waliobaki ni kuzozana mpaka muda wa mazoezi ukaisha.
Higuaín yuko frustrated kwa sababu kesho inavyoelekea hatacheza na matokeo ya hiyo frustration ndio hiyo. Anajua pia Chelsea hawatamchukua msimu mwingine so bad
Kwa game ya leo baadaye, nawapa Chelsea asilimia ndogo ya kushinda
Kwenye timu kugombana ni ishara ya kutokuwepo Umoja kati ya baadhi ya wachezaji wenyewe kwa wenyewe au wao na kocha. Usitegemee timu ifanye vizuri kama hizi tofauti inafikia kiwango cha kuandikwa na watu wa media, mashabiki pia waliona. Wee unategemea zile passi murua za Luiz zitaenda kwa Gonzalo Higuaín kama wana bifu. Hii sio habari njema kabisa na ushindi leo tutaendelea kutegemea kwa hisani ya Arsenal kama ilivyokuwa kwenye top 4. Arsenal wakicheza chini ya kiwango tunaweza shinda ila wakicheza kwenye kiwango chao na inaelekea itakuwa hivyo, ushindi Chelsea sahau, tubaki tunajifariji tu kuwa washiriki wa UCL mwakani.Kugombana ni kawaida mkuu hilo wala lisikutishe, Chelsea ananyanyua ndoo leo
Kwenye timu kugombana ni ishara ya kutokuwepo Umoja kati ya baadhi ya wachezaji wenyewe kwa wenyewe au wao na kocha. Usitegemee timu ifanye vizuri kama hizi tofauti inafikia kiwango cha kuandikwa na watu wa media, mashabiki pia waliona. Wee unategemea zile passi murua za Luiz zitaenda kwa Gonzalo Higuaín kama wana bifu. Hii sio habari njema kabisa na ushindi leo tutaendelea kutegemea kwa hisani ya Arsenal kama ilivyokuwa kwenye top 4. Arsenal wakicheza chini ya kiwango tunaweza shinda ila wakicheza kwenye kiwango chao na inaelekea itakuwa hivyo, ushindi Chelsea sahau, tubaki tunajifariji tu kuwa washiriki wa UCL mwakani.
Nature ya majeruhi pia sio nzuri hasa hizi zinazoongezeka kwenye mazoezi. Higuaín faulu yake jana ingefanikiwa maana yake leo pia tungekuwa na majeruhi ya Luiz, Thanks God haikufanikiwa. Iwe ni carelessness au makusudi majeruhi ya Kante itatuadhiri sana
Jambo la mwisho media walishapublish baada ya ligi kuisha kuwa baadhi ya wachezaji wakubwa Chelsea wameazimia kuhama timu kama Sarri ataendelea kuwa kocha, hii ni gossip lakini wahenga walisema lisemwalo lipo na kama halipo laja. Willian na baadhi ya wachezaji wakubwa walishamlalamikia kocha kwa ratiba ya mazoezi asubuhi, sijui kama hiyo ratiba bado ipo ambayo mimi nadhani ndio ilikuwa chanzo kuu ya dukuduku ya wachezaji kumlalamikia Sarri. Hizi zote ni ishara kwamba Chelsea yahitaji miujiza ili ishinde leo