Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

[emoji23][emoji23][emoji23]
Baada ya Kushindwa Kwa Bayern na Barcelona mumeamua kuhamia kwa Spurs?
Washabiki wa Chelsea bhana! Wameshampa ubingwa Spurs kwa Kumfunga Ajax, lakini aliyemfunga Barcelona hawampi ubingwa.
 
Sarri ni kocha mzuri kwenye formation ila mbinu ni ziro X1000. Njia rahisi ya kujua kama kocha ana mbinu
  1. Angalia wanvyorespond baada ya kufungwa
  2. Angalia wanavyoaproach game baada ya kupoteza mechi ya kwanza na timu ile ile
  3. Angalia wanavyocheza na timu tofauti, mtindo ule ule
  4. Angalia sub zinavyopfanyika, PREDITABLE -PREDICTABLE, hakuna hata siku moja unamuona sari anamto winger na kumuweka MF au defender au striker na kumuweka MF. kaifanya jana tu kumtoa Andreas na kumuweka Zapa nafasi ya Azpi na Azpit kurudi katikati nafasi ya Andreas ila jhiyo haikuwa mbinu bali kalazimishwa kwa sababu ya majeruhi na hakukuwa na mbadala
  5. Anachojitahidi Sarri ni kumotivate wachezaji kucheza vile vile siku zote kitu ambacho ni ngumu sana kuzaa matunda.
  6. Ukweli ni kwamba kama sio wachezaji wenyewe wameamua kuacha mgomo baridi wa Dectimu isingeingia top 4, wachezaji walishamchoka kwa sababu hawasikilizi wachezaji na ni rigid coach. December -Feb - Hata ile incident ya Kepa kugoma ni matokeo ya wachezaji kutomtii kocha kwa sababu they do not trust him
ASANTE AISEER
 
Messi tofauti na Auba & Laca...

Messi ni Jogoo la Shamba haliwiki Mjini, linawika likiwa Camp Nuo tu ambako anaweza kukuchakaza.

Lakini Likitoka Spain na Kukanyaga Uengereza linageuka Mtetea.

But Auba na Laca ni Majogoo ya Kisela yanawika popote pale kama ulivyoona Jana.

Yani hawa wamekukosa basi ni 3
Mech Everton & BHA hayo majembe yako yalifanya nini.? Teh. Time will tell
 
Unasema maneno hayo ukiwa umesahau kuwa umeanza kushiriki CL mwaka 2001, Kabla ya Hapo ulikuwa ukiisikia Redioni tu.

Sasa Wenzako Waloanza Kushiriki Champion League tokea Tanzania Haijapata Uhuru hawasemi Maneno hayo! Wewe uliyeanza juzi Mkapa/Kikwete era ndiyo unajifanya huwezi kukosa kushiriki CL?

Arsenal, Liverpool and Man United wasemeje?
Kama wewe umeshindwa kusema wacha sisi tuseme. Kwa hiyo unataka sisi tusubiri tuwe kama nyie ndio tuanze kusema? Huyo Arsenal hata akipata nafasi anaenda kufanya nini.? Kaeni na historia zenu wacha sisi tuishi maisha tuliyoyaona siyo ya kuhadithiwa kama nyie wengine.

Ni moja kati ya vitu ninavyo jivunia mnoo.
 
Katukuta tunashiriki Europa League leo hii tumeingia UCL kwa kushika nafasi ya tatu.

Tumefika fainali mbili, moja tumekosa kwa penalty nyingine bado ni 50/50.

Alipokuwa Napoli msimu uliopita Juve kachukua kombe kwa tofauti ya point 4. Msimu huu Juve kachukua ubingwa kwa tofauti ya point 16.

Hayo yote ni ndani ya msimu wake wa kwanza. Bado kuna mtu anakwambia kocha mbaya. Sarri anahitaji muda ila alichotucost huyu kocha ni kukosa plan B katika mechi maalumu na ndicho kinachoniumiza hata mimi. Mfano mechi ya Man City haikua ya kufungwa vile.

Bado nina imani na Sarri.
 
David Luiz has today signed a contract extension with Chelsea, keeping him at Stamford Bridge until 2021.
The Brazilian has enjoyed a fine season at the heart of the Blues’ defence, making 48 appearances across the campaign and scoring three goals as we sealed a return to the Champions League and booked our place in the Europa League final..........

gjx3ycpR
 
CHELSEA PLAYERS' PLAYER OF THE YEAR
2006 Claude Makelele
2007 Didier Drogba
2008 Ricardo Carvalho
2009 Ashley Cole
2010 Florent Malouda
2011 Ashley Cole
2012 Ramires
2013 Juan Mata
2014 Cesar Azpilicueta
2015 Eden Hazard
2016 Willian
2017 N'Golo Kante
2018 Willian
2019 Eden Hazard
 
uliambiwa na AROON kama frankfurt wapo vizuri ukabisha na kutamba utashinda nyingi[emoji16][emoji16][emoji16]
Frankfurt sio wazuri kwa namna inavyosifiwa, Chelsea ndio hawakuwa kwenye form nzuri.
Frankfurt majuzi walibugizwa 6 na Bayerlevakusen na sasa wako hati hati kutolewa kwenye nafasi ya 4 ya Bundesliga. Huwa kwenye ligi ni timu ya katikati (8-10). Mwaka huu wamebahatisha tu kuwa juu.
 
Baada ya Kushindwa Kwa Bayern na Barcelona mumeamua kuhamia kwa Spurs?
Washabiki wa Chelsea bhana! Wameshampa ubingwa Spurs kwa Kumfunga Ajax, lakini aliyemfunga Barcelona hawampi ubingwa.
King ngwaba bhana, hata mtu akitabiri basi kwenu ni noma. Usijali Liverpool is the best team kuliko hata Man city, Tatizo moja tu Mpira wa miguu saa nyingine haiangalii ubora wa timu bali matokeo. Spurs nani alibet wangemtoa Man city. Utabiri wangu ulibase kwenye ustaarabu huo huo labda Liverpool wawe alerted mapema, wanaweza kufall victims kama Man city
 
Callum Hudson-Odoi has tonight been named the Chelsea Young Player of the Year after an excellent breakthrough season at Stamford Bridge

25731-callum-hudson-odoi.jpg
Wanamhonga ili abaki
 
Kama wewe umeshindwa kusema wacha sisi tuseme. Kwa hiyo unataka sisi tusubiri tuwe kama nyie ndio tuanze kusema? Huyo Arsenal hata akipata nafasi anaenda kufanya nini.? Kaeni na historia zenu wacha sisi tuishi maisha tuliyoyaona siyo ya kuhadithiwa kama nyie wengine.

Ni moja kati ya vitu ninavyo jivunia mnoo.
Historia ya kuhadidhiwa na mababu au kusoma kwenye maktaba. Ni kama Tajiri aliyefilisika utamsikia akisema Enzi hizo mimi ni kula nyama choma kila wikiendi, naenda pumzika dubai kila mwisho wa mwezi, Magorofa nusu ya mjini nilikuwa nayamiliki mimi, natembelea magari ya viyoyonzi nk. Sasa hivi anasotea juani bila mafanikio, ya kale ni historia tu!
 
.....anastahili, hawamuhongi, he earned it
Of course sikusema hastahili, anastahili sana ila nimeweka hint tu kwamba hiyo ni mojawapo ya kete management wanacheza kumvutia abaki
 
  • Thanks
Reactions: Obe
Kama wewe umeshindwa kusema wacha sisi tuseme. Kwa hiyo unataka sisi tusubiri tuwe kama nyie ndio tuanze kusema? Huyo Arsenal hata akipata nafasi anaenda kufanya nini.? Kaeni na historia zenu wacha sisi tuishi maisha tuliyoyaona siyo ya kuhadithiwa kama nyie wengine.

Ni moja kati ya vitu ninavyo jivunia mnoo.

Kwahiyo hichi tunachokifanya sasahivi CL ni historia?
 
Frankfurt sio wazuri kwa namna inavyosifiwa, Chelsea ndio hawakuwa kwenye form nzuri.
Frankfurt majuzi walibugizwa 6 na Bayerlevakusen na sasa wako hati hati kutolewa kwenye nafasi ya 4 ya Bundesliga. Huwa kwenye ligi ni timu ya katikati (8-10). Mwaka huu wamebahatisha tu kuwa juu.
Na kwa nyongeza hao akina Jovic na Haller watachukuliwa msimu huu wa kiangazi na wao kubaki the same regular
Frankfurt ya 8-10 position
 
Kwahiyo hichi tunachokifanya sasahivi CL ni historia?
Kwa kawaida historia ni matukio yaliyotokea zaidi ya miaka 10 iliyopita
Mfano ukiandika a professional CV unatakiwa kuweka
  1. Vyuo ulivyovisoma not more than 10 yrs ago
  2. Job experience not more than 10 yrs ago,
  3. Achievemnts ulizozipata not more than 10yrs ago
Hata klabu yampira ikitakiwa kuandika professional CV au profile itatakiwa kuandika
  1. Tittles acquired not more than 10 yrs ago
  2. Finals participated not more than 10 years ago
  3. Top 4 achieved not more than 10 yrs ago
Ebu tutafakari katika muktadha huo
 
Kwenye elimu hapo umejichanganya mzee wangu ana masters ya 1992 hivyo kwenye cv yake hastahili kuandika elimu yake kwakua ni more than 10yrs? Crap
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom