Ni kweli lakini nahisi swala la kufungiwa kusajili bodi ililiona mapema ndiyo maana wakaamua kumtafuta kocha anayeweza kujenga kikosi kwa bei ndogo. Lakini pia kumbuka tuna talents nyingi kwenye mikopo, tulichokuwa tunakosa ni namna ya kuwalink kwa first timu na hii imetusababisha kuwapoteza akina Salah, Debruyne, Ake, Thorgan na wengineo. Kwa aina ya ufundishaji wa Sarri atatufaa kwenye kipindi hiki.
Hao wa mikopo sio talents bali ni magarasa