Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Daahh aiseeee
Sasa hapa Man U kwa haya matokeo ya Chelsea, Arsenal na Spurs nafasi bado wanayo.

Kesho Man City hii mechi ni ngumu kwake. Tofauti na wengi mnavyowaza Man U hawezi kumlegezea City hata kidogo. There's so much at stake, there's so much to lose.

Kesho naona Man U wakishinda pale OT.

Ole's at the wheel. [emoji16]
 
Cheltako inabidi mcheze Europa, maana mna kipa pazia, subirini misimu kama mitano hivi,
 
Mkuu kuwa na Huruma japo kidogo

Ujuwe Ollachuga Oc anakuangalia tu anakusubiri uje ujikwae aje alipize kisasi Kwa kuhamia kwenu mwezi mzima [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Juzi emery katupangia kikos cha ovyo, tumepigwa, kahamia jukwaa letu usiku mzima

Akatamba kabisa Burney wanampiga 5, cha ajabu Jana wamevutwa shati, mpaka sasa anashinda jukwaa la mapishi, na anahamiaga barcelona kwa muda,
 
Kuna Mjamaa Fulani hapa Kitaa alikuwa akijiita Joginho na akanunua mpaka Jezi ya Joginho, Jana nimemkuta anaibebea Mkaa imebadilika mpaka rangi imekuwa Nyeusi badala ya Blue, Hajiiti tena Joginho karudia kujiita jina lake la zamani la Mahunyege [emoji23] [emoji23][emoji23]
 
Hahaaaaa , Ollachuga Oc anakwambia hakuna kiungo bora EPL, kama joginho
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom