Channels karibu zote za DSTV zinaonyesha mechi za leo saa 11 jioni
  1. Brighton VS Man. City - 10 na 11HD
  2. Liverpool VS Wolves - 4HD
  3. Leicester City VS Chelsea - 8HD
  4. Tottenham VS Everton - 5HD
  5. Burnley FC VS Arsenal - 7HD
  6. Man. United VS Cardiff City - 9
  7. Goal focus itakuwa Chanel 3HD
Chanel hizi zote isipokuwa 11HD na 3 HD zinapatikana kwenye kifurushi cha Bomba
Nawatakia ligi njema nikitumaini kuwa majeraha ya leo hayatauma sana kwani karibu kitakachotokea kinajulikana

Hongera mshindi wa kwanza na wa pili kwa sababu katika historia ya EPL haijawahi kutokea timu kupata 97 points na asiwe bingwa
This is the best runner-up ever in EPL history
 
Channels karibu zote za DSTV zinaonyesha mechi za leo saa 11 jioni
  1. Brighton VS Man. City - 10 na 11HD
  2. Liverpool VS Wolves - 4HD
  3. Leicester City VS Chelsea - 8HD
  4. Tottenham VS Everton - 5HD
  5. Burnley FC VS Arsenal - 7HD
  6. Man. United VS Cardiff City - 9
  7. Goal focus itakuwa Chanel 3HD
Chanel hizi zote isipokuwa 11HD na 3 HD zinapatikana kwenye kifurushi cha Bomba
Nawatakia ligi njema nikitumaini kuwa majeraha ya leo hayatauma sana kwani karibu kitakachotokea kinajulikana

Hongera mshindi wa kwanza na wa pili kwa sababu katika historia ya EPL haijawahi kutokea timu kupata 97 points na asiwe bingwa
This is the best runner-up ever in EPL history
Mkuu naona mechi ya leo hakuna haja ya kuumiza kichwa. Sarri apeleke kikosi cha pili tu. Unaweza kuumiza wachezaji halafu tar 29 kesho kutwa.
 
Hawa jamaa wasipofikisha goli nane leo sijui kitatokea nini.
IMG_20190512_162630_916.jpeg
 
Leo Azpi anacheza kati na Luiz then Zappa kapewa shavu la kulia. Dakika 90 ni nyingi sana kwa udhalilishaji utakaotokea. Wapewe point zao 3 na magili 3 shughuli iishi tusichoshane.

But I wish all the best to the Blues.
IMG_20190512_162735_786.jpeg
 
Mechi haina umuhimu ni kuchosha tu wachezaji. Na ndio maana nikawa naomba Sarri aweke kikosi cha pili wakapashe joto na Leicester ya wakubwa.
Mkuu mechi ilikuwa na umuhimu tena sana. Kubakia kwenye na. 3 ni heshima ya The Blues na mashabiki na nashukuru Spurs kashikiliwa na Evarton. Anyway yote yameisha tugange yajayo. Europa, Ban na kuboresha timu kwa msimu ujao NK
 
Kiutani utani tumemaliza ligi kwenye unpredictable position...ni uhakika kwamba Sarri amefanya kitu kikubwa sana japo bado hatujamwelewa ila katisha sana. Conte alituacha nafasi ya tano uko..lakini Sarri kasisitiza kuwa anaweza leta makubwa ndani ya Chelsea yetu hii...

Twende na Europa sasa ..hatuna cha kupoteza tena...
 
Kama wewe umeshindwa kusema wacha sisi tuseme. Kwa hiyo unataka sisi tusubiri tuwe kama nyie ndio tuanze kusema? Huyo Arsenal hata akipata nafasi anaenda kufanya nini.? Kaeni na historia zenu wacha sisi tuishi maisha tuliyoyaona siyo ya kuhadithiwa kama nyie wengine.

Ni moja kati ya vitu ninavyo jivunia mnoo.
Anaona kma historia yao itawaletea makombe ..EPL ndo ishaota mbawa

Uefa nayo inafuata nyayo
 
Hata hivyo tukimpa msimu mwingine atapata experience ya EPL na atajikuta akitumia na mbinu ili kujipatia matokeo katika mazingira magumu tofauti na msimu huu
Ila achievement ya top 4 sio kwa sababu ya Sarri, nakubali Sarri ni kocha mzuri ukizingatia bado mgeni kwenye ligi kubwa tofauti na PEP na KLOP hata MOU, Top 4 tulipewa kwa hisani ya Man U, Arsenal na nafasi ya 3 kwa hisani ya Spurs. Hizi timu zingemaintain ubora sisi leo tungekuwa tunasugua Benji la namba 6. Hiyo boronga ya Dec hadi Feb ilikuwa ni hatari sana na hatukuwa na tofauti na akina Newcastle
Hiyo ya kwamba tumepata top 4 chance kwa hisani ya Araenal na Man U unakosea sana. Ina maana sisi hatuwezi kuwa imara tukaearn top four kwa juhudi zetu? Yani kwenye ligue ukisema hivyo unakosea sana maana ligue siyo mechi mbili au knock out. Kumbuka Man U ametutoa point 2 tumemtoa 2, Arsenal kakutoa 3 tumemtoa 3. Sasa sijui umemaanisha nini kusema hivyo mkuu?
 
Fuata hii link halafu soma comments ya wasomaji. Pia nenda kwenye ranking za kila bara utaona mpaka wasomaji wengine wanatukana
Mfano mzuri ingia Africa club ranking, Simba pamoja na kufika robo fainali ya klabu bingwa Afrika hawakutajwa kokote badala yake timu kama MPESA FC ndizo zinazotajwa

https://footballdatabase.com/ranking/world/1

Mojawapo ya comments zilizovuta attention yangu ni

Juan Manuel Cardona

Ok, Red Bull salzburg is better than santos, san lorenzo, sporting, olympique marseille, corinthians.... Come on...this is a big crap.
Austria does not even exist on football universe.

Gefällt mir · Antwort ·
sutro-like.png
6 · 5 J · Bearbeitet


Mimi pia sijawahi kukubaliana hata kama ni FIFA wametoa
 
Back
Top Bottom