Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,025
- 27,365
He deserved that..Callum Hudson-Odoi has tonight been named the Chelsea Young Player of the Year after an excellent breakthrough season at Stamford Bridge
![]()
He deserved that..Callum Hudson-Odoi has tonight been named the Chelsea Young Player of the Year after an excellent breakthrough season at Stamford Bridge
![]()
Huyu Sarri tutamtathimini vizuri msimu ujaoKatukuta tunashiriki Europa League leo hii tumeingia UCL kwa kushika nafasi ya tatu.
Tumefika fainali mbili, moja tumekosa kwa penalty nyingine bado ni 50/50.
Alipokuwa Napoli msimu uliopita Juve kachukua kombe kwa tofauti ya point 4. Msimu huu Juve kachukua ubingwa kwa tofauti ya point 16.
Hayo yote ni ndani ya msimu wake wa kwanza. Bado kuna mtu anakwambia kocha mbaya. Sarri anahitaji muda ila alichotucost huyu kocha ni kukosa plan B katika mechi maalumu na ndicho kinachoniumiza hata mimi. Mfano mechi ya Man City haikua ya kufungwa vile.
Bado nina imani na Sarri.
Anastahili kwa kweliCallum Hudson-Odoi has tonight been named the Chelsea Young Player of the Year after an excellent breakthrough season at Stamford Bridge
![]()
Frankfurt ni wazuri Leo nimeiona katika list ya vilabu hamsini bora duniani ikiwa ya 33Frankfurt sio wazuri kwa namna inavyosifiwa, Chelsea ndio hawakuwa kwenye form nzuri.
Frankfurt majuzi walibugizwa 6 na Bayerlevakusen na sasa wako hati hati kutolewa kwenye nafasi ya 4 ya Bundesliga. Huwa kwenye ligi ni timu ya katikati (8-10). Mwaka huu wamebahatisha tu kuwa juu.
Author wa hiyo database ni nani, is it reliable?Frankfurt ni wazuri Leo nimeiona katika list ya vilabu hamsini bora duniani ikiwa ya 33
Chelsea ni ya 10 View attachment 1094033
Ndio ustaarabu wa kuandika CV, huyo mwenye master ya 92 hapo katikati hajasoma au hana education achievement yeyoteKwenye elimu hapo umejichanganya mzee wangu ana masters ya 1992 hivyo kwenye cv yake hastahili kuandika elimu yake kwakua ni more than 10yrs? Crap
Hat hivyo kuna gap kubwa kutoka 10 to 33 na ndio nilibase hapo kuwa Chelsea ndio waliokuwa kwenye bad formFrankfurt ni wazuri Leo nimeiona katika list ya vilabu hamsini bora duniani ikiwa ya 33
Chelsea ni ya 10 View attachment 1094033
database ya hawa jamaa, they are not reliable japo wako jirani na ukweliFrankfurt ni wazuri Leo nimeiona katika list ya vilabu hamsini bora duniani ikiwa ya 33
Chelsea ni ya 10 View attachment 1094033
Una mashaka mkuu?Author wa hiyo database ni nani, is it reliable?
mkuu angalia vizuri lineup yao walipocheza na leverkusen utagundua walipumzisha key player hata barca walifanya hivyo na wakapigwa 2Frankfurt sio wazuri kwa namna inavyosifiwa, Chelsea ndio hawakuwa kwenye form nzuri.
Frankfurt majuzi walibugizwa 6 na Bayerlevakusen na sasa wako hati hati kutolewa kwenye nafasi ya 4 ya Bundesliga. Huwa kwenye ligi ni timu ya katikati (8-10). Mwaka huu wamebahatisha tu kuwa juu.
Kikosi hakipo flexible kabisa. Wachezaji waliopo bado hawafit sana mahitaji tuliyonayo. Pia Sarri ameanza vizuri msimu wake wa kwanza tunastahili kumpa muda wa kutosha naamini yapo mazuri atayaleta.Huyu Sarri tutamtathimini vizuri msimu ujao
Kwa msimu na ukizingatia ni msimu wake wa kwanza darajani, for me kafanya vizuri mno
Plani b inachangiwa na wachezaji tulio nao kwa sasa sio kumlaumu kocha tu
Huo ubora wamezingatia vigezo gani.?Frankfurt ni wazuri Leo nimeiona katika list ya vilabu hamsini bora duniani ikiwa ya 33
Chelsea ni ya 10 View attachment 1094033
Hata hivyo tukimpa msimu mwingine atapata experience ya EPL na atajikuta akitumia na mbinu ili kujipatia matokeo katika mazingira magumu tofauti na msimu huuKatukuta tunashiriki Europa League leo hii tumeingia UCL kwa kushika nafasi ya tatu.
Tumefika fainali mbili, moja tumekosa kwa penalty nyingine bado ni 50/50.
Alipokuwa Napoli msimu uliopita Juve kachukua kombe kwa tofauti ya point 4. Msimu huu Juve kachukua ubingwa kwa tofauti ya point 16.
Hayo yote ni ndani ya msimu wake wa kwanza. Bado kuna mtu anakwambia kocha mbaya. Sarri anahitaji muda ila alichotucost huyu kocha ni kukosa plan B katika mechi maalumu na ndicho kinachoniumiza hata mimi. Mfano mechi ya Man City haikua ya kufungwa vile.
Bado nina imani na Sarri.
Timu ya 33 against Chelsea ya 10 na bado tunasema Frankfurt ni timu bora kwa vigezo vipi?Huo ubora wamezingatia vigezo gani.?
Ila bado haiwafanyi kuwa bora in relation to Chelsea, ndio hoja yangu ya msingi. Wanaweza kuwa bora against Newcastle but not Chelsea banamkuu angalia vizuri lineup yao walipocheza na leverkusen utagundua walipumzisha key player hata barca walifanya hivyo na wakapigwa 2
Hao kidogo ubora upo kwaobkwa kutoa changamoto kwenye ligi. Michuano ya ulaya wanaangukia pua kama Bayern, Borrusia.
Timu ya 33 against Chelsea ya 10 na bado tunasema Frankfurt ni timu bora kwa vigezo vipi?
Fuata hii link halafu soma comments ya wasomaji. Pia nenda kwenye ranking za kila bara utaona mpaka wasomaji wengine wanatukanaUna mashaka mkuu?
Angalia ranking za kisomi (Euro Club Index), wako very transparent kwenye methodologies walizotumia kupata points sio kama hao footballdatabase.com hawajaonyesha wamepataje hizo point kwa sababu wangefanya hivyo wasingeweza kujibu Simba waliofika mpaka robo fainali Afrika hawakuorodheshwa popote kwenye ranking na nafikiri hata young afrika mabingwa wa east afrika. Timu za Uganda hazipo kabisaUna mashaka mkuu?