Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,814
- 40,572
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watu wanasema DeGea error, mimi nasema sio error, namtetea DeGea
Lile shuti la Rudiger lilikuwa linaserereka 700KM/hr au 200M/second au kuweka sawa zaidi katika mita 40 ilitumia miliseconds 200 hivi.. Asingelizuia hivyo alivyofanya lingeingia ndani kiurahisi. Hata attempt ya kupangua lingezama maana speedi ilikuwa ni kubwa