Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,633
- 38,733
Mmelala?
Yaani kwa hiki kikosi cha chealsea bila hazard ni upuuzi mtupu, huyu sari anasubili maji yafike shingon ndio amweke hazardHuyu sarri kwann kamweka eden hazard nje?
Hivi anatutafuta nini huyu teja
Hata hivyo kikosi kizuriYaani kwa hiki kikosi cha chealsea bila hazard ni upuuzi mtupu, huyu sari anasubili maji yafike shingon ndio amweke hazard
Muda si mrefu tutapata majibu km tumeruhusiwa kusajili au la.Wakuu msimu ujao tumeruhusiwa kusajili au? Nmeona sehemu kama Chelsea wanamtaka Bale..
Tukiendelea kumkumbatia huyu zari boss lady basi kuna dalili timu yetu ikawa level za kina Everton miaka yote






