The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,011
- 11,433
Karibun OT
Huruma ionee chelwowo ,maana itamaliza nafas ya 5Masikini ya mungu mpaka nakuonea huruma.
Utakuwa umenichanganya na Ollachuga Oc,Ngumu sana hiyo kutokea, kama mshimdi wa UEFA atatoka EPL nina imani na yeye atakua top 4,spurs ana nafasi kubwa sana kuingia top 4, kwa EUROPA nayenyewe inaweza chukuliwa na timu iliyoingia top 4
ndio umezinduka nasikia ulikua mahtuti hujitambui
Nipe matokeo ya Wolves na Arsenyeto
Nipe kwanza matokeo ya cheltako na wolvesNipe matokeo ya Wolves na Arsenyeto
Huruma ionee chelwowo ,maana itamaliza nafas ya 5
Haya wewe chelwowo, nitakuja ngoja niweke mambo sawa, ngoja nijenge nchi Mara mojaWe kiburushuti sasa umezinduka unaanza kurudisha mambo yaliyopita.? Ungekuja siku ile ile tuongee.
Game week 38 White Lane Park anacheza na Everton. Mweeee!Hmm.. Kweli mbio za top 4 ni ngumu. Spurs kapasuliwa nyumbani kwake. Sasa kazi kwetu tu.
Game week 38 White Lane Park anacheza na Everton. Mweeee!
acha tusubiri 2nd half tuoneNi suala la muda tu Arsenal atafungwa leo mbweha akishakuzidi maarifa lazima akulambe.
Arsenal 27% possesion with 10 men