OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
Wakuu huyu refaree simuelewi kabisa..
Anawafavor manure ..
Anawafavor manure ..
Naona hizo dalili,itakuwa kabetWakuu huyu refaree simuelewi kabisa..
Anawafavor manure ..
Wakuu huyu refaree simuelewi kabisa..
Anawafavor manure ..
mkuu kama Manure akishinda basi referee atakuwa amechangia 55% ya ushindi wao..Calm down
Kati ya Watford na Leicester away mmoja atakukamataKilichobaki sasa ni kushinda game zilizosalia bila kujali matokeo ya timu nyingine
game zote ni ngumu ila najua watapambana tuKati ya Watford na Leicester away mmoja atakukamata
Top 4 itaamuliwa na Chelsea na Arsenalgame zote ni ngumu ila najua watapambana tu
Wewe utaongeza point nne tu..Utabiri Wangu Mwisho wa Msimu
√ Man City ataongeza points 6
√ Liverpool ataongeza points 6
√ Spurs ataongeza points 3
√ Chelsea ataongeza points 3
√ Arsenal ataongeza points 3
√ Manure ataongeza points 6
MSIMAMO
1) Man City
2) Liverpool
3) Spurs
4) Chelsea
5) Manure
6) Arsenal
Anaebisha ahifadhi hii post
Kama Sarri asipozingua tutashinda ..akileta upuuzi wake tutaishia Ku draw au kupigwa kabisa..Kilichobaki sasa ni kushinda game zilizosalia bila kujali matokeo ya timu nyingine
Wewe utaongeza point nne tu..
Kwa Sari Masigara bado ni maumivu tu kwa kwenda mbele, mi ni mshabiki mzuri sana wa Chelsea lkn panapohusika ukweli huwa sirudi nyuma kamwe!Kilichobaki sasa ni kushinda game zilizosalia bila kujali matokeo ya timu nyingine
#mainProblemJOGNHO AJUI AFANYE NINI NI KUZURULA NA VIPASI asume kante leo alivyokuwa anakata umeme akae na kovacic na roftas unategemea nibi kama sio ushindiKama Sarri asipozingua tutashinda ..akileta upuuzi wake tutaishia Ku draw au kupigwa kabisa..
Kwa Sari Masigara hata wote wanaweza kumkamata tu, Kocha kaotea timu 3 tu za top six kuzifunga lkn zingine zote kachezea kichapoKati ya Watford na Leicester away mmoja atakukamata
