interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,409
Shida si kwa wapambanaji bali ni Kocha pekee.game zote ni ngumu ila najua watapambana tu
Shida si kwa wapambanaji bali ni Kocha pekee.game zote ni ngumu ila najua watapambana tu
kama tumedraw na Man United ..Leicester tutawaweza kweli? Hii gemu me naona ilikuwa nyeupe sana kushinda leo
Mpaka Sari atapotimuliwa ndipo tutaporudi ktk ubora wetu Chelsea, la sivyo tutakuwa tunatembea kisiasa siasa kila siku bila mafanikio yoyote yale.Kama Sarri asipozingua tutashinda ..akileta upuuzi wake tutaishia Ku draw au kupigwa kabisa..
Mkuu Wolves kwa sasa wamekuwa wamoto sana. Sidhani kama iyo gemu itakuwa rahis kiivyo ..japo huwezekano wa kushinda upo upande wenu lakini naona Wolves wanaeza badilisha upepo...Najuwa unamzungumzia Wolves lakini Kumbuka kuwa Wolves anakuja Anfield ambapo takriban Misimu miwili sasa nimekuwa Nikifanya Vizuri pale Anfield.
Hawezi kuchomoka.
First round nilimpiga 2 kwa 0 pale uwanjani pake ambako ni pagumu kupata matokeo kwani hata City alishindwa kupata matokeo
Mkuu unaona kocha anayefaa kuifunza Chelsea endapo Sarri atatimuliwa..Mpaka Sari atapotimuliwa ndipo tutaporudi ktk ubora wetu Chelsea, la sivyo tutakuwa tunatembea kisiasa siasa kila siku bila mafanikio yoyote yale.
Huyo huyo nlomatajaUnasema huna Imani na nani?
Naona Alonso anaanza kurudi kwenye ile form yake aliyoiacha somewhere Nov 18Kwa kikosi kilivyo kwa kweli leo katuliza akili. Kinaweza kutupa matokeo mazuri thogh kwa Alonso sina imani napo. Kilichobaki tuache dkk 90' ziamue
Luiz ni mzito japo bado anahitajika Chelsea kwa sasa hatuna mzuri Zaidi yake, huwezi kumuweka pale Carhill labda Christiansen. Kiujumla Chelsea sio wazuri kwenye blocking, wangekuwa Burney lile lisingekuwa goliHivi kuna mtu bado ana imani na David Luiz.? Ule mpira ulimshinda vip kuuzuia.
Njano ya Willian ni uamuzi wa kijinga sana refa kafanya kwa sababu softly Wilian aliwin mpira , Pia Marcos Rojo alistahili direct Red kwa kumminya Willian na kumsababisha ashindwe kuendelea, badluck leo Willian kaonewa sana na ndio maana VAR ni muhimu EPLDah Herrera alitakiwa àwe na njano mbili mpaka sasa ..Huyu refaree hana tofauti na yule aliyetoa penalty mbili kwa Simba dhid ya KMC Alliance..
Liverpool wanaweza kushinda kwa asilimia kubwa ila Wolves kwenye counter attack wako 99% kwenye EPL, wana uwezo wa kutumia vyema minimal chances wanazozipataMkuu Wolves kwa sasa wamekuwa wamoto sana. Sidhani kama iyo gemu itakuwa rahis kiivyo ..japo huwezekano wa kushinda upo upande wenu lakini naona Wolves wanaeza badilisha upepo...
Makocha wapo wengi sana tu Kaka, yupo Kocha wa Ajax, yupo Kocha wa Wolves ambapo Tajiri akiweka mpunga wa maana akimng'oa mmojawapo atailetea Chelsea mafanikio tele.Mkuu unaona kocha anayefaa kuifunza Chelsea endapo Sarri atatimuliwa..
Btw mim bado naona kama anafaa koz ni msimu wake tu wa kwanza ..so wait tuone atafanikiwa vip na mfumo wake ..japo Chelsea haiamini sana mipango ya muda mrefu wa makocha wengi..
Mkuu unaona kocha anayefaa kuifunza Chelsea endapo Sarri atatimuliwa..
Btw mim bado naona kama anafaa koz ni msimu wake tu wa kwanza ..so wait tuone atafanikiwa vip na mfumo wake ..japo Chelsea haiamini sana mipango ya muda mrefu wa makocha wengi..
Liverpool wanaweza kushinda kwa asilimia kubwa ila Wolves kwenye counter attack wako 99% kwenye EPL, wana uwezo wa kutumia vyema minimal chances wanazozipata
Hivi goli alilofunga Alonso assist ilikuwa ya nani vile!