21 February
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 3,303
- 2,853
bora Rudiger karudi ila hapo kwa Alonso nina wasiwas napo, ila position nyingine naona zipo fresh tuKikosi kinacho anza Leo cha Chelsea kama kinaymbaView attachment 1083424
bora Rudiger karudi ila hapo kwa Alonso nina wasiwas napo, ila position nyingine naona zipo fresh tuKikosi kinacho anza Leo cha Chelsea kama kinaymbaView attachment 1083424
bora Rudiger karudi ila hapo kwa Alonso nina wasiwas napo, ila position nyingine naona zipo fresh tu
Yap,hapo kwa Alonso nimajanga labda leo unaweza akawa formbora Rudiger karudi ila hapo kwa Alonso nina wasiwas napo, ila position nyingine naona zipo fresh tu
Leo tuna wapiga 2Sawa
🤔🤔🤔🤔Chelwowo mpo?
Msimamo utaisha hivi
Man city
Liver
Arsenal
Tot
Chelwowo
Nyumbu
Hiyo ni baada ya mech 38
usijipige ban kama AroonSawa
Leo tuna wapiga 2
usijipige ban kama Aroon
Kwa kikosi kilivyo kwa kweli leo katuliza akili. Kinaweza kutupa matokeo mazuri thogh kwa Alonso sina imani napo. Kilichobaki tuache dkk 90' ziamue
Ndo umepenyaa hivyoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi kuna mtu bado ana imani na David Luiz.? Ule mpira ulimshinda vip kuuzuia.
Kwa kikosi kilivyo kwa kweli leo katuliza akili. Kinaweza kutupa matokeo mazuri thogh kwa Alonso sina imani napo. Kilichobaki tuache dkk 90' ziamue
bora Rudiger karudi ila hapo kwa Alonso nina wasiwas napo, ila position nyingine naona zipo fresh tu
Alonso mm namjudge katika majukumu yake ya kukaba na sio katika kushambuliaUnawasiwasi na ?