Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Endelea kupiga ramli,tutaona mwisho wa msimu, tutakuja kufukua hili kaburi
Katika mechi nne zilizobaki mna uwezo wa kushinda mechi moja tu na droo moja ya pili bahati. Mnawafuata nyumbani kwao Mbwa Mwitu na Mbweha mnadhani hapo mtapona??
 
Ni sawa kwa sababu utabiri wangu ulichukulia ukweli kwamba Arsenal angeshinda mechi ya jana dhidi ya Crystal Palace
Sasa ana the maximum capacity ya pts 5+66 = 71

Michezi iliyobaki msimamo mpya

3 Spurs anaweza kuongeza pts 8 = 67+8 = 75
4 Chelsea anaweza kuongeza pts 8 = 66+8 = 74
5 Arsenal anaweza kuongeza pts 5 = 66+5 = 71
6 Man U anaweza kuongeza pts 6 = 64+6 = 70
tayari zimeshapungua mbili weka 6
 
Katika mechi nne zilizobaki mna uwezo wa kushinda mechi moja tu na droo moja ya pili bahati. Mnawafuata nyumbani kwao Mbwa Mwitu na Mbweha mnadhani hapo mtapona??
Kwa sababu walikubonda wewe, bas unadhan na arsenal atafungwa? Nitakuja kufukua kaburi hili kesho
 
Katika mechi nne zilizobaki mna uwezo wa kushinda mechi moja tu na droo moja ya pili bahati. Mnawafuata nyumbani kwao Mbwa Mwitu na Mbweha mnadhani hapo mtapona??
Halafu cheltako anashinda zote au sio? Huoni unapiga ramli zinafeli hushtuki, akili yako ilikutuma Jana unampiga Burney ,ukajihesabia na point, cha ajabu umevutwa shati,
 
Kocha mvuta bangi, halafu eti mmalize top4, hakuna kitu kama hicho,

Europa mkipita mnakutana na gunners, Emery kashaahidi kule shughuli imeisha ,maana ana uzoefu WA kulibeba hilo kombe 3 times,

Zari anajua kuvuta bangi na sigara
FB_IMG_1555992616796.jpeg
 
tayari zimeshapungua mbili weka 6
Eti anapiga ramli kabisa arsenal ktk mech 4 atachukua point 5, cha ajabu kaanza yeye kudondosha point kwa Burney ,na kabakiza mech 3, moja anaenda OT, ambayo wanaenda kugawana point na nyumbu, akipigwa top 4 inakuwa bye bye,

Maana asichojua kuwa arsenal anahitaji point 6 tu, iwapo wao na nyumbu watasuruhu, au cheltako akipigwa,

Nimekuwa nikiwasisitiza hawaelewi, Siku nyumbu anapocheza na cheltako, Arsenal akashinda basi shughuli itakuwa imeisha ,nafas ya 5&6 watagawana wao, hawaelewi ,
 
MSICHOKIJUA CHELTAKO NI HIKI

Arsenal akishinda kesho, halafu mech ya cheltako na nyumbu ikaisha sare au cheltako kubondwa basi , Arsenal atahitaji point 2 tu asifikiwe tena na mtu WA 5,

Sasa endeleeni kupiga ramli,

Nyumbu kesho wanafungwa, hivo hawatakubali kupoteza mechi 3 mfululizo
FB_IMG_1555992616796.jpeg
 
Wale mliokuja kutukejeri jukwaa la Arsenal ,mkadai nafas ya 3 ni Mali yenu mpo wapi?

Mkasahau kabisa kuwa MNA pazia la £71m,

Mkasahau mna jojina mpiga pass zisizo na maana

Pumbaff
 
Ni sawa kwa sababu utabiri wangu ulichukulia ukweli kwamba Arsenal angeshinda mechi ya jana dhidi ya Crystal Palace
Sasa ana the maximum capacity ya pts 5+66 = 71
Michezi iliyobaki msimamo mpya
3 Spurs anaweza kuongeza pts 8 = 67+8 = 75
4 Chelsea anaweza kuongeza pts 8 = 66+8 = 74
5 Arsenal anaweza kuongeza pts 5 = 66+5 = 71
6 Man U anaweza kuongeza pts 6 = 64+6 = 70
hapo katika 8 punguza 2 zitabaki 6
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom