Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ulaya hayo mambo hayapo bro. Kule sio Simba na Yanga. Watu wanaangalia impact ya ku qualify kwenda Ulaya wao kama team na sio kombe kwenda Liverpool.

Mashabiki ndio wanaona hivyo lakini uongozi wa club na wachezaji view point yao ni tofauti bro.

There's so much at stake.

1. Reputation ya club (as one of the elite clubs in Europe)

2. Financial impact (the amount of money the club will lose if you don't go to Europe).

3. OGS job is also at stake.

4. So much is at stake.

Tusubiri tuone kama kesho mkishinda mtamind au la [emoji16][emoji16]
Ndio nakwambia hivi mkuu, hatuna timu ya kupambana na City. Hata tukaze vipi lazima tutafungwa tu.

Ushindi Jumatano utaniumiza sana. Nataka City apate point tatu ila asitudhalilishe. Mambo ya kutupiga kama alivyomfanya Chelsea sio mazuri.
 
Sari Masigara atakifukuzwa tu Chelsea tutarudi ktk ubora wetu, lkn tukiendelea kubakia na Sari Masigara basi hata nafasi ya 9 tutakuwa tunaisikia kwa akina Wolves
 
Burney wamepiga on target 2 tu, zote ndani

Hahaaaaaaaaa
Ndio maana nasemaga, cheltako anashinda kwa timu zinazokaa nyuma ,ila zinazoshambulia hata kwa kubip ,hawez kushinda

Kuna wafia timu wanakujaga kubisha ,

Ndio maana emery kasema Europa kamaliza kazi, sikumuelewa kumbe wapinzani mwenyewe kina kepa,hahaaaaaaaaaaaaaa
 
Mkiikosa UEFA mwakani mjiandae kukwepwa na wachezaji wakati wa dirisha la usajili na pia mapato yanashuka kwenu kwa zaidi ya pauni milioni mia( GBP 100+ million loss)
Nakumbuka Pogba alikuja tukiwa hatuchezi UEFA. Muhimu hiyo jumatano ni kufungwa tu.😂😂 mambo ya hasara watajua wenyewe.
 
Wewe mshabik WA cheltako ,nan kwakwambia nilipotea, muulize ndugu yako ollachuga ,

Mimi sipoteagi,

Leo nipo hapa hadi asubuhi ,

Nawaeleza nafas ya 5 ni yenu ,mkibisha subirini may,

Europa emery kashasema kamaliza kazi, haiqezekan final tucheze na cheltako ,halafu kipa kepa, tushindwe kubeba ni aibu
Arsenal ina Kocha Mtaalamu, wachezaji ni 0 IQ, Chelsea ina Wachezaji lkn haina kocha daaah[emoji30][emoji47]
 
Ndio nakwambia hivi mkuu, hatuna timu ya kupambana na City. Hata tukaze vipi lazima tutafungwa tu.

Ushindi Jumatano utaniumiza sana. Nataka City apate point tatu ila asitudhalilishe. Mambo ya kutupiga kama alivyomfanya Chelsea sio mazuri.
Tatizo liver wanataka huruma ya united ktk kubeba ubingwa,

Mimi naomba man city ashinde 1-0 ,

Kuna baadhi ya wana liver humu jamvin wameanza mdomo
 
Tatizo liver wanataka huruma ya united ktk kubeba ubingwa,

Mimi naomba man city ashinde 1-0 ,

Kuna baadhi ya wana liver humu jamvin wameanza mdomo
Watatusumbua sana hawa. Bora hao City humu wana mashabiki watatu pekee.
 
Chelsea ikiingia top 4 ni sawa na imebeba ubingwa wa EPL, Arse8 komaeni maana hata kama Chelsea itaingia top 4 lkn hakuna consistency yoyote kwa wachezaji wake sawa na Man City au Liverpool.
 
Watatusumbua sana hawa. Bora hao City humu wana mashabiki watatu pekee.
Na Mimi ndio ninachotaka, humu city wapo watatu, wewe watu wameanza kunusa harufu ya ubingwa tayari vurugu zishakuwa nyingi, hata kule uingereza hawafurahii kabisa hiki kitu,
 
Chelsea ikiingia top 4 ni sawa na imebeba ubingwa wa EPL, Arse8 komaeni maana hata kama Chelsea itaingia top 4 lkn hakuna consistency yoyote kwa wachezaji wake sawa na Man City au Liverpool.
Msimu ujao tunasajiri, maana tuna first eleven ila hakuna backup,

Kama hujui arsenal tuna kikos kizuri tu, na Emery anakipangaga akisemwa na mashabik, kile tulichokuua 2-0, man u alikufa ,Napoli nje ndan, liver alipata sare , hiko kilos kikipangwagwa tu ,tunajua Leo ushindi lazima,

Sasa usitegemee tutaenda UCL, bila kuongeza watu, hapo tuna key players wawili wapo. Majeruhi ya msimu mzima
 
Nakumbuka Pogba alikuja tukiwa hatuchezi UEFA. Muhimu hiyo jumatano ni kufungwa tu.😂😂 mambo ya hasara watajua wenyewe.

Pogba ilikuwa lazima aje sababu amekuzwa na Academy ya Man Utd
 
Wewe Leo ulijitapa unaongeza point 3, matokeo yake umeongeza moja,

Jtano wolves anakufa,,

Mech yako naanyumbu mnasuruhu, Arsenal anashinda unaachwa point 5 clear,zinabaki mech 2 ligi iishe akili itakukaa sawa,

Hapo arsenal atakuwa anahitaji point 2 tu, usimfikie
Raha ya ndoto tena za mchana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom