Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mbuzi wamepona
Ci unawajua wale mbwa mwitu??? Wanakuwaga wabaya wakiwa njaa ..mbuzi kaa Liverpool, Man u, na wengineo waliliwa vizuri tu ...Wewe ndo utaachwaa??

hahahahah Mbweha wataniachia mifupa tu..
 
Ci unawajua wale mbwa mwitu??? Wanakuwaga wabaya wakiwa njaa ..mbuzi kaa Liverpool, Man u, na wengineo waliliwa vizuri tu ...Wewe ndo utaachwaa??

hahahahah Mbweha wataniachia mifupa tu..
Timu ni ARSENAL hao wolves ni mbwa tu kama jina lao.

Sisi tulijipigia hao huku tukiwa kwenye hali mbaya
 
Lakin wenzake wakifungwa ,anakujaga kwa mbwembwe ,yeye sare tu, hutamuona hapa hadi jumatano
Nipo wewee ..mimi sio mshamba kama wewe ...kesho tutakuwa pamoja na wolves tuna uhakika hawatatuangusha..
 
Msimu ujao tunasajiri, maana tuna first eleven ila hakuna backup,

Kama hujui arsenal tuna kikos kizuri tu, na Emery anakipangaga akisemwa na mashabik, kile tulichokuua 2-0, man u alikufa ,Napoli nje ndan, liver alipata sare , hiko kilos kikipangwagwa tu ,tunajua Leo ushindi lazima,

Sasa usitegemee tutaenda UCL, bila kuongeza watu, hapo tuna key players wawili wapo. Majeruhi ya msimu mzima
Una kikosi cha kuokoteza unasema una kikosi kizuri?? Hao wachezaji wa pound mil tano tano wataifikisha wapi assanal??
 
Hywajui hawa, juzi tumefungwa kisa upuuz WA mustafi ,na upangaji ovyo WA kikosi ,walikuja kama nzi kwenye jukwaa letu
Kipa lako bovu unamsingizia Mustafi. Kama uyo Leno ni kipa alishindwaje kusave makosa ya mustafi?

Leno alikuwa mranda mbao tu mpira kauvamia..
 
Mikwara miiiingi kumbe boksi.
@Ollachuga
Sisi tunawajaza tu ili mjae ..akitoka Liverpool/Man city au Man city/Liverpool atayefuatia apo ni sisi.. Spurs kama kawa atawakilisha nafasi ya nne ..

Usisahau Europa naitia kapuni..
 
Sisi tunawajaza tu ili mjae ..akitoka Liverpool/Man city au Man city/Liverpool atayefuatia apo ni sisi.. Spurs kama kawa atawakilisha nafasi ya nne ..

Usisahau Europa naitia kapuni..
Labda hiyo Europa ,ya ndondo cup,

Una kocha mvuta sigara ,hajawahi kubeba taji lolote ,ndio aje achukue Europa kwa emery master?

Huku umesahau golini una pazia la £71m, hahaaa

Burney walipiga mashuti mawili tu, wakapata goli mbili

Bornamouth walipiga mashuti manne wakakubamizeni 4-0
 
shuti mbili za wapi kwa nini unapenda dhambj za kujitakia acha .... Kijana shoot lilikuwa moja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom