Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

shuti mbili za wapi kwa nini unapenda dhambj za kujitakia acha .... Kijana shoot lilikuwa moja
Kwahiyo unabisha au unataka kusema shuti moja kwa kepa unapata goli 2?

Mm nimekwambia Burney walipiga on target mbili tu, zikatosha kuwapa goli 2,

Iwapo wangepiga 4, wangepata bao 4, maana golini pana pazia,
Screenshot_2019-04-24-12-48-03.jpeg
 
Chelsea huyu Man U leo akipigwa inabidi mumtie adabu na weekend pia
 
Man u anapigwa Leo, halafu wikiendi analala mbele na Chelsea ,hawez kukubali acheze alhamis peke yake , wakati Chelsea yupo,

Tena OT, afungwe mech 3 mfululizo, haikubaliki,lazima aende futuhi na chelsea
 
man U inatakiwa ashinde maana Tottenham inaonekana kabisa nafasi yatatu ni yake mpaka mwisho sasa wasiposhinda leo hamna uwezekano kabisa ingawa Arsenal ana mechi ngumu mbili
 
Arsenal hawezi mfunga Mbweha leo wala LC Jumamosi.
Nafasi ya nne ni ya mshindi wa Yuropa final kafi ya Chelsea na Arsenal
 
man U inatakiwa ashinde maana Tottenham inaonekana kabisa nafasi yatatu ni yake mpaka mwisho sasa wasiposhinda leo hamna uwezekano kabisa ingawa Arsenal ana mechi ngumu mbili
Mech zip ngumu za arsenal? Nyie mnataka man u ashinde awasaidien ubingwa, kitu ambacho man u hayupo tayari,

Ipo hivi iwapo man u Leo watapigwa,tegemea watamvuta shati Chelsea,
 
Mechi yenu na Leicester city ni mechi rahisi? Leicester aliemfunga man City Etihad halafuy akamdondosha Liverpool point mbili au na huyo Man city ndio yule aliekupiga misimu miwili mfululizo nje ndani
 
Labda hiyo Europa ,ya ndondo cup,
Una kocha mvuta sigara ,hajawahi kubeba taji lolote ,ndio aje achukue Europa kwa emery master?
Huku umesahau golini una pazia la £71m, hahaaa
Burney walipiga mashuti mawili tu, wakapata goli mbili
Bornamouth walipiga mashuti manne wakakubamizeni 4-0

Umesahau Kuwa na Liverpool Walipiga Mashuti Mawili tu Wakatumbukiza Magoli 2
 
Labda hiyo Europa ,ya ndondo cup,

Una kocha mvuta sigara ,hajawahi kubeba taji lolote ,ndio aje achukue Europa kwa emery master?

Huku umesahau golini una pazia la £71m, hahaaa

Burney walipiga mashuti mawili tu, wakapata goli mbili

Bornamouth walipiga mashuti manne wakakubamizeni 4-0
Hahabaha utakula maneno yako. Leno siyo pazia tena ni tambara..

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
Man u anapigwa Leo, halafu wikiendi analala mbele na Chelsea ,hawez kukubali acheze alhamis peke yake , wakati Chelsea yupo,

Tena OT, afungwe mech 3 mfululizo, haikubaliki,lazima aende futuhi na chelsea
Sisi tukienda futuhi Wewe utaenda wapi?? Championship ama.? Hahahaha

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom