Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Hata aje kocha gani kwa kipa kepa mtakuwa mnarudishiwa magoli ,na huu ndio mwanzo wa cheltako kuwa kama zaman ilikuwa kama fulham
Nyie nafas yenu ni 5 ,manyumbu ya 6,mbona inajulikana kitamboHapa tumeshazingua top 4 ni ngumu kwa hali hii
Nyie nafas yenu ni 5 ,manyumbu ya 6,mbona inajulikana kitamboHapa tumeshazingua top 4 ni ngumu kwa hali hii
Nyie nafas yenu ni 5 ,manyumbu ya 6,mbona inajulikana kitamboHapa tumeshazingua top 4 ni ngumu kwa hali hii
Sasa unaibetia cheltako INA maana hujui kuwa golini wana pazia la paun mil 71Mmenchania wangese nyie
Manyumbu watapigwa hadi wachakaeSasa hapa Man U kwa haya matokeo ya Chelsea, Arsenal na Spurs nafasi bado wanayo.
Kesho Man City hii mechi ni ngumu kwake. Tofauti na wengi mnavyowaza Man U hawezi kumlegezea City hata kidogo. There's so much at stake, there's so much to lose.
Kesho naona Man U wakishinda pale OT.
Ole's at the wheel. [emoji16]
Nikwasababu kuna pazia la paun mil 71Timu inaruhusu goli mbili kipindi cha kwanza tujitafakari iz beki
Wewe siuna sema hakuna kiungo kama jojinaKama kawaida Sarri na mtoto wake apo kati ...daH!! Uyu mzee sijui kapewa nin na Jogihno, enewei ngoja tuone leo itakuwaje..!
Naona zimepungua,Apo sawa kabisa.
Naona kweli ushindi umepatikanaushindi upo ila mabeki wasipo ruka na kukaba kwa macho tutafungwa magoli ya vichwa na wood hata matatu
Wewe game ijayo una Wolves alafu Leicester. Wote hawa wanatamani kucheza Europa na bado wana matumaini. [emoji23][emoji23][emoji23]Manyumbu watapigwa hadi wachakae
Halafu game ya man u na cheltako ,itakuwa game ya kuamua nan akae namba 5 na 6
Mkuu usichokijua ni hiki, emery alizingua upangaji kikos kwakuwa ana majeruhi pia, njoo uone show kwa hao wolves ,wanakufa mapema tu,Wewe game ijayo una Wolves alafu Leicester. Wote hawa wanatamani kucheza Europa na bado wana matumaini. [emoji23][emoji23][emoji23]
Ligi bado mbichi sana aseee. Msimu huu kuna tutakaolia na kucheka kwapamoja. [emoji16][emoji16]
Kipa kepa unategemea ushindi? Dk yoyote likiachiwa kombola ,imooVipi wakuu Leo kuna ushindi kweli Leo ?