Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Apone wapi ,wakati golin kuna pazia la £71mMgonjwa huyu yupo maututi leo sijui atapona goodluck Banley tupunguze midomo
Lawama anabebeshwa zari kisa anavuta sigara
Apone wapi ,wakati golin kuna pazia la £71mMgonjwa huyu yupo maututi leo sijui atapona goodluck Banley tupunguze midomo
Endelea kupiga ramli,tutaona mwisho wa msimu, tutakuja kufukua hili kaburiNi sawa kwa sababu utabiri wangu ulichukulia ukweli kwamba Arsenal angeshinda mechi ya jana dhidi ya Crystal Palace
Sasa ana the maximum capacity ya pts 5+66 = 71
Michezi iliyobaki msimamo mpya
3 Spurs anaweza kuongeza pts 8 = 67+8 = 75
4 Chelsea anaweza kuongeza pts 8 = 66+8 = 74
5 Arsenal anaweza kuongeza pts 5 = 66+5 = 71
6 Man U anaweza kuongeza pts 6 = 64+6 = 70
Sasa hapa Man U kwa haya matokeo ya Chelsea, Arsenal na Spurs nafasi bado wanayo.
Kesho Man City hii mechi ni ngumu kwake. Tofauti na wengi mnavyowaza Man U hawezi kumlegezea City hata kidogo. There's so much at stake, there's so much to lose.
Kesho naona Man U wakishinda pale OT.
Ole's at the wheel. [emoji16]
Sawa mkuu kwasasa kila mechi naangali sitaki kuhadithiwa utamu huu maana ni mambo ya kihistoria haya huwa hayajirudii.Mkuu usichokijua ni hiki, emery alizingua upangaji kikos kwakuwa ana majeruhi pia, njoo uone show kwa hao wolves ,wanakufa mapema tu,
Yaani mechi 4 ,zilizobaki ,Arsenal aongeze point 4,? Subiri tutaona ,Ni sawa kwa sababu utabiri wangu ulichukulia ukweli kwamba Arsenal angeshinda mechi ya jana dhidi ya Crystal Palace
Sasa ana the maximum capacity ya pts 5+66 = 71
Michezi iliyobaki msimamo mpya
3 Spurs anaweza kuongeza pts 8 = 67+8 = 75
4 Chelsea anaweza kuongeza pts 8 = 66+8 = 74
5 Arsenal anaweza kuongeza pts 5 = 66+5 = 71
6 Man U anaweza kuongeza pts 6 = 64+6 = 70
Wewe Leo ulijitapa unaongeza point 3, matokeo yake umeongeza moja,Arsenal ondoa ..yeye anaweza ongeza point tano tu kama siyo nne ..kesho kutwa jumatano anakalishwa..
Ulaya hayo mambo hayapo bro. Kule sio Simba na Yanga. Watu wanaangalia impact ya ku qualify kwenda Ulaya wao kama team na sio kombe kwenda Liverpool.Liverpool mnafurahisha sana. Sisi tunasema hatuna uwezo wa kuifunga City. Tutapigwa tu!
Liverpool mnafurahisha sana. Sisi tunasema hatuna uwezo wa kuifunga City. Tutapigwa tu!
Mkuu umeongea sana na kufafanua kwa msuli mkuuubwaaaaa... Sio kama tunapenda tufungwe tatizo uwezo ndugu yangu...kama Tumepigwa 4-0 na Everton at this stage unatarajia kwa City anayewania ubingwa atatufanya nini????Kwa hiyo unataka kusema hayo yote uliyodadavua wachezaji hawajui tumlalie dhaifu Everton?Tatizo uwezo,hatuna uwezo kwa dhaifu Everton tutaupata wapi kwa mbabe City??Ulaya hayo mambo hayapo bro. Kule sio Simba na Yanga. Watu wanaangalia impact ya ku qualify kwenda Ulaya wao kama team na sio kombe kwenda Liverpool.
Mashabiki ndio wanaona hivyo lakini uongozi wa club na wachezaji view point yao ni tofauti bro.
There's so much at stake.
1. Reputation ya club (as one of the elite clubs in Europe)
2. Financial impact (the amount of money the club will lose if you don't go to Europe).
3. OGS job is also at stake.
4. So much is at stake.
Tusubiri tuone kama kesho mkishinda mtamind au la [emoji16][emoji16]
We si ulisema anatisha? Tena unamuita Master PassJogihno anatuchomesha mahindi ..k
Sarri afanye maamuzi ya fastaaaa
Jana ulifia wapi Haji Manara wa Ase8[emoji87]Wewe Leo ulijitapa unaongeza point 3, matokeo yake umeongeza moja,
Jtano wolves anakufa,,
Mech yako naanyumbu mnasuruhu, Arsenal anashinda unaachwa point 5 clear,zinabaki mech 2 ligi iishe akili itakukaa sawa,
Hapo arsenal atakuwa anahitaji point 2 tu, usimfikie
Naona Leo kepa pazia,kawauzaJana ulifia wapi Haji Manara wa Ase8[emoji87]
Okay umeongea kitu cha muhimu pia. Ila kuna factor ambazo unatakiwa uelewe. This is football, anything can happen. Motivation matters.Mkuu umeongea sana na kufafanua kwa msuli mkuuubwaaaaa... Sio kama tunapenda tufungwe tatizo uwezo ndugu yangu...kama Tumepigwa 4-0 na Everton at this stage unatarajia kwa City anayewania ubingwa atatufanya nini????Kwa hiyo unataka kusema hayo yote uliyodadavua wachezaji hawajui tumlalie dhaifu Everton?Tatizo uwezo,hatuna uwezo kwa dhaifu Everton tutaupata wapi kwa mbabe City??
@Ollachuga Oc kashajipiga ban maana aliaaminisha watu Leo wanaondoka na point 3, akasahau golin ana pazia ,Mbuzi wamepona
Liver mnataka kusaidiwa kubeba ubingwa, hili jambo litawatesa hadi game ya mwisho city anapokabidhiwa ubingwa,Okay umeongea kitu cha muhimu pia. Ila kuna factor ambazo unatakiwa uelewe. This is football, anything can happen. Motivation matters.
Sababu za kuwa motivated ni pamoja na hizo nilizotaja hapo juu. Matokeo ya mnaofukuzana nao kwenye top four yamefanana so itawapa wachezaji (sio mashabiki) morale ya kupata points kwenye game ijayo ili wawe katika better position. Mengine nikiandika nitakuwa narudia ya huko juu.
Naona Leo kepa pazia,kawauza
Nafas ya 5 ni Mali yenu, ya 6 inamwenyewe
Wewe mshabik WA cheltako ,nan kwakwambia nilipotea, muulize ndugu yako ollachuga ,Jana ulipotelea wapi Arse8 baada ya kuchapwa na CP[emoji848][emoji57]