Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,321
- 201,543
Sarri balls
Mashabik hamkosagi mtu wakumuangushia lawama ,kama kupanga wachezaji mnaowatakaga kawapanga,
Kweli kuongozi, first half vijanA walicheza kwa displine, sijui nn kiliwapata second half dakika za mwanzo wakaruhusu goli za harakaSitaacha kulalamika na huyu kocha wetu. Hakika anatunyima maisha tuliyoyazoea.
Sema tuvumilie maisha ya mpito. Nakubali nimefungwa kama ambvyo hata mimi namfunga. Hali yetu kwa sasa isiwe sababuya kufungwa kwetu. Tulikua na nafasi nyingi za kufanya mazuri ila tumefanya uzembe tu.
Sema goli la Salah zuri. Hatuwezi kumlaumu kipa. Pale anafungwa kipa yoyte yule na ubora wake. Hatukati tamaa, nafasi bado tunayo.
Up Blues
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa pamepoa sana wadau.
Jogoo inabidi anyonyolewe leo
kocha akipanga kikosi kizuri leo, yatatokea kama ya 2013/14 hawataamini
Ulishasikia achana na kuona arsenal anachukua kombe la ulaya hii sio emirate cup usitupotezee muda
Tunakwenda Anfield kushinda tu...amna namna nyingine. Wazee tutaomba update kwa sisi tuliopo Huku ndani ya ziwa Busega tunatafuta riziki.
Sema tunafunga mabao mangap
Majogoo Leo watakua kuku anaetetea
Sema sa ivi kipindi cha pili naona kocha aingize striker. Hawa jamaa wanafungika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana Chifu, ulikuwa hujui au?, Sari akitimuliwa tu utaona jinsi gani Chelsea ni timu bora.Chelsea mbovu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Msijar tunaenda kwenye goal letu la ushinda Liverpool anakufa
Sarri OUT, msaada wake katika timu ni mdogo sana, matokeo yanaamuliwa na mchezaji mmoja mmoja ila sio kitimu
Sent from my iPhone using JamiiForums